Watakuwa wamepotoka maana ukweli ni kwamba Burundi ni sehemu ya iliyokuwa Tanganyika.Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Kigomaa😀😀Hizo kelele wanazipigia wapi mkuu?
Maana warundi wanaona Tanzania kama sisi tunavyoiona Europe, America etc
Historia ya huko nyuma hakukuwa na nchi kama zilivyo leo.Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Mie nimetembea sana mkuu hata Kigoma nimefika.Hizo kelele wanazipigia wapi mkuu?
Maana warundi wanaona Tanzania kama sisi tunavyoiona Europe, America etc
Umeandika point nzuri na ndio ukweli, ila nchi yetu iache kujiita wakarimu huo ni ulofa,mnyarwanda ni sumu siyo wa kucheka naye. Nimeona pale Morogoro kuna watu wanaitwa Ndikumana, wamekujakujaje nchini mwetu? Na wameajiriwa serikalini. Na ndio hawa hawana uzalendo kila siku wanaitukana nchi yetu mara waiite Tanzagiza km huyu aliyeleta hii post, huyo ni mrundi huhitaji kufanya uchunguzi. Kwanini hatuna wivu na uchungu na nchi yetu? Tanzania is a great nation we need to jealousy and proud of it, viwilaya km Rwanda na Burundi ni vya kuvidharau tu na wakiingia nchini mwetu washughulikiwe bila huruma na wajutie kuingia nchini mwetu ili wasirudie ndio hao jana Taifa Stars imefungwa wao wanashangilia. Mtu anaitaje nchi km Tanzania Tanzagiza? Huyo ni raia kweli? Mi nimetembelea nchi Kadhaa za Africa na Ulaya jinsi unavyochukukiwa ni kwamba hapa duniani una sehemu moja tu utaheshimika na kuonekana binadamu ni nchini mwako.Aisee hata kama hizo Burundi na Rwanda ni zetu Tanzania ila hata tusizidai.
Hawa wahutu na watutsi ni watu poisonic sana. Wana tribalism ya hali ya juu.
Pia hapo Kigoma Tanzania iwe makini sana na hao wanaovuka mipaka.
Sio kwa hizi kelele wanazopiga kudai Kigoma ni yao.
Wengine wapo TZ na wanajinasibu warundi ndani ya ardhi ya urundi iliyoibiwa na TZ.
Mie nina malengo mawili makuu.Mtoa mada? Yapi ni maoni yako? Je unahoji upate majibu au unawasilisha maoni ya warundi kwa jamuhuri ya muungano wa Tanzania? Lengo tujifunze na sio tujifunge kwa muktadha wa Hoja yako kwa maoni ya mchanganyiko wa watu wanao husika na wasio husika!
Mkuu,Heshima mwulize mamako aliyekuzaa, we bwege mburukenge usirudie kutuletea vinyesi humu
Basi tunatakiwa tuwarudishe kwenye utimamu wao.Watakuwa wamepotoka maana ukweli ni kwamba Burundi ni sehemu ya iliyokuwa Tanganyika.
Humu ndani watu wote wanajadiliana kwa staha ila tizama yeye sasa.Mkuu,
Ule siku itakuwa ulipigwa ban ya muda mfupi sana baada ya kutoa hizi lugha za maudhi,kejeli na matusi.
Una ulemavu wa akili? Kwa nini hubadiliki?
Huyu atashughulikiwa.Humu ndani watu wote wanajadiliana kwa staha ila tizama yeye sasa.
Umeharibu mwishoni acha siasa kwenye mambo ya msingi, hao nyumbu wako wamekimbia uchaguzi baada ya kuona hawatashinda, CCM ni mlezi wa hii nchi hajapatikana mwingine na bado sana, uongozi unatoka kwa wananchi. Hao CCM unaowalaumu ndio wamelinda mipaka ya nchi na iko imara mpaka leo, unailaumu ktk lipi, uimara wa jeshi letu ni kwasababu ya CCM. Bila CCM imara hii ingeshamegwa vipande, Kagera siyo Iddi Amini tu hata KAGAME angeichukua afikie Ziwa Victoria. Africa kiukweli hakuna nchi ina mipaka km Tanzania. Ziwa Victoria, ziwa Tanganyika, ziwa Nyasa, Bahari ya Hindi bado mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro hayo kwa machache ni nchi ipi inavyo? Be proud of your country if really you a citizen of this countryHistoria ya huko nyuma hakukuwa na nchi kama zilivyo leo.
Mipaka iliwekwa Ujerman baada ya Berlin conference, na makoloni machache yakabadilika baada ya Vita za dunia.
Tangu tawala za Machief, watawala huwa na TAMAA za kukuza HIMAYA zao kwa kuvamia ardhi na kujitanua.
Unasema kuhusu Warundi kuongea, lakini Iddi Amin alisema Kagera iko Uganda mpaka tukaenda vitani.
Kenya wanasema Mlima Kilimanjaro ni wa kwao.
Kamuzu Banda wa Malawi alisema siyo zowa Nyasa pekee, maeneo yote ya Mbeya, Njombe na Songea ni sehemu ya MALAWI.
Hizo nchi zote zingekuwa na UWEZO zingekuvamia.
Ndio maana binafsi, naona masiasa ya CCM ya kutoheshimu kura za wananchi yanahatarisha usalama wa nchi.
View: https://youtu.be/ICFmDTaKIws?si=beqKar2A8NbtxRTe
Huyo siyo aliyeanzisha mada. Msome Tena,ni mchangiaji.Ha ha haaaaa! Mleta mada ana mental illness? Inawezekana maana siyo kwa matusi hayo!
Hapa sizungumzi siasa, wala mimi siyo nyumbu wa kisiasa wa mtu yoyote.A
Umeharibu mwishoni acha siasa kwenye mambo ya msingi, hao nyumbu wako wamekimbia uchaguzi baada ya kuona hawatashinda, CCM ni mlezi wa hii nchi hajapatikana mwingine na bado sana, uongozi unatoka kwa wananchi. Hao CCM unaowalaumu ndio wamelinda mipaka ya nchi na iko imara mpaka leo, unailaumu ktk lipi, uimara wa jeshi letu ni kwasababu ya CCM. Bila CCM imara hii ingeshamegwa vipande, Kagera siyo Iddi Amini tu hata KAGAME angeichukua afikie Ziwa Victoria. Africa kiukweli hakuna nchi ina mipaka km Tanzania. Ziwa Victoria, ziwa Tanganyika, ziwa Nyasa, Bahari ya Hindi bado mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro hayo kwa machache ni nchi ipi inavyo? Be proud of your country if really you a citizen of this country
Asante mkuu nimeona! Kumbe mleta mada naye aliingia kwenye mkumbo wa kutukana! Nimefuta ile post mkuu, kumbe ni hilo li-Sukuma la Sangamwalugesha!Huyo siyo aliyeanzisha mada. Msome Tena,ni mchangiaji.
Unataka tuziletaje hizo kelele mkuu!?Bila kuleta hizo kelele inakuwa UZI MFU
Kinachosumbua Afrika ni mipaka ya kikoloni, baada ya kuanza kujitambua kuna baadhi ya maeneo unaona yapo upande flani kisanii sanii. Mikoa mingi ya mipakani ni utata sana.Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Hiyo ni historical colonial fact, ambayp huwezi kuikwepa.Kinachosumbua Afrika ni mipaka ya kikoloni, baada ya kuanza kujitambua kuna baadhi ya maeneo unaona yapo upande flani kisanii sanii. Mikoa mingi ya mipakani ni utata sana.
Umesema kelele zipo mitandaoni leta ushahidi.Kama huna ushahidi wowote you could be quite mpka uwe na ushahidi ndo uanze kutype.hakuna Sababu zozote za ww kutoitwa MMBEA.Unataka tuziletaje hizo kelele mkuu!?
Siku niwarekodi nilete video humu!?
Unaona hilo ni sawa!?
Ni kwa mtazamo wako,hivyo sitoendeshwa na mtazamo wako.Umesema kelele zipo mitandaoni leta ushahidi.Kama huna ushahidi wowote you could be quite mpka uwe na ushahidi ndo uanze kutype.hakuna Sababu zozote za ww kutoitwa MMBEA.