Dahh tunapoelekea pabaya sanaDaaah hali ni mbaya sana hata sisi hatuna maji kabisa
Na kinachoumiza zaidi mama walimpa tuzo ya maji mawiki kadhaa nyuma
Alieleta uchawa na kutengeneza propaganda za uongo kwa ajili ya kufurahisha watawala ametuharibia sana nchi
Wao maji Yao hata ya Kuoga, yanaagizwa toka nje ya NchiAbdul anaendesha Lamborgini alafu wakazi wa Dar tunakosa Maji?
Haya mambo mwisho wake ni Desemba 9