Hivi hii tabia ya Wanaume kuvaa vikaptula vifupi, laini vya kubana imetokea wapi tena?

Hivi hii tabia ya Wanaume kuvaa vikaptula vifupi, laini vya kubana imetokea wapi tena?

Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
yaani unaweza jiuliza mara mbili mbili hivi huyu mtu anajiheshinu na kujielewa kweli?

Sasa ukute kibukta kina maua maua halafu kinaishia juu ya magoti aisee ukimchek chini ana vitege na vigimbi halafu kamguu kembambaa!

Hii nguo kwangu ni ya kuvaa home tu ama beach
 
Mkeo ana KAZI mkuu! No wonder una kademu kamepauka kama jina lako! Natania!
 
kazi kwako kama unatamani magoti na mapaja ya mwanaume mwenzio,uo ushoga utakua unauanzisha wewe unaetamani!!

tho siachi kuvaa pensi, dar joto sie wa mikoani tukija uko tnapata shida
 
Back
Top Bottom