FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Hivi mwanaume kutingisha matamko mchuzi barabarani kama punga we unaona haiathiri day to day physchological well being ya jamii? Aisee..., tunaumizwa kisaikolojia, tena tunaumizwa pakubwa pale unapoona mtu anadhalilisha jamii bila aibuHujaipata point tu hapo mkuu. Kama jambo haliathiri maisha yako au shughuli zako za utafutaji kwanini ukereke nalo?! Eleza vikaptula vifupi vinakwamisha vipi shughuli zako za kujitafutia kipato?!