Elon SpaceX
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 127
- 259
Ninapenda kuvaa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah, ndio R.I.P tenahahaha sina demu wala mke mkuu
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
...enzi zile za kuachwa gymkhana si alikutwa amevaa kanga au kumbukumbu yangu imevurugika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na vibegi vyao, ahenzi taipuHii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
Mi nafikiri mngeanza na tv na media zingine,na hata ndoa za kikristo na kiislam ambapo wanawake wengi huvaa nguo za ajabu ajabu hadi aibu kuangalia au hata kumsalimu mwanamke wa aina hii na kwa wanamuziki, yaani inaaibisha Sana. Ndo maana kipindi hiki wanaume wanakosa hata hamu ya kuwa na mwanamke maana kila kitu chenye ushawishi wa kuoa viko wazi. Pia na watoto wadogo nao wa kike kuiga nguo za kubana, wazi,kuonyesha kila kitu katika whatsapp, mitandao basi ni tabu tupu huku pia wakiwa ni maharage maji kidogo tu unakula tunda kimasihara.Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.