FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Hivi mwanaume kutingisha matamko mchuzi barabarani kama punga we unaona haiathiri day to day physchological well being ya jamii? Aisee..., tunaumizwa kisaikolojia, tena tunaumizwa pakubwa pale unapoona mtu anadhalilisha jamii bila aibuHujaipata point tu hapo mkuu. Kama jambo haliathiri maisha yako au shughuli zako za utafutaji kwanini ukereke nalo?! Eleza vikaptula vifupi vinakwamisha vipi shughuli zako za kujitafutia kipato?!
Ohoooo...
wanaume wa DarHii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
Kweli joto ndio sababu kuuKama hawavunji sheria au kudhuru wengine basi Let them live their life!! Besides, naona joto la Dar pia linachangia wao kuvaa hivyo!!!
Looooh....
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.