Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu sio mara moja au mbili ni mara kadhaa hasa ukipiga simu haipokelewi kwa wakati.
Ukija kuuliza unaambiwa simu ilikuwa mbali,ilikuwa ndani mimi nilikuwa naosha vyombo/nafua.
Visingizio hivi ni vya miaka na miaka haijawahi kubadirika kitu.
Kuna muda itakupasa upige simu kwa jirani maana yake umepiga zaidi ya mara5 haipokelewi.Na kwa sababu una shida unaamua kumtumia jirani yako walau ampelekee au amwambie apokee simu na kweli anakutafuta.
Si hivyo tu unaweza ukawa home ghafla anakwambia Baba p naomba uipigie simu yangu siioni sijui nimeweka wapi!!
Ukija kuipigia utakuta imewekwa kwenye manguo machafu au popote pale.
Mwanzo nilijua ni makusudi Nika mnyang'anya simu kubwa na kumpa kiswaswadu mambo yakawa Yale Yale.
Tena ukiwapo nyumbani inaweza achwa kitandani kutwa nzima Hana habari akipigiwa wewe ndo unamwabia ijia simu yako unapigiwa akimaliza kuongea anaicha sebreni. Ukimuuliza nini mana ya kuwa na simu Sasa........? Pona yako simu kupokelewa basi ukute anacheza game au yupo mtandaoni YouTube huko.
Hii changamoto mara nyingi nilijua mimi tu. Nikiwa kazini wengi huwa wanakuja kupiga simu nyumbani kwao kwa kutumia simu yangu.
Ukimpa simu anapo kurudishia utasikia analalamika huyu mwanamke sijui anashida gani yaani anapokeaga simu akijisikia yeye..ukija muuliza bona hukupokea simu yangu anaeleza sababu za kipuuzi tu.
Mdau wewe unadiri vipi na changamoto hii?