Naangalia taarifa ya habari ITV saa hivi nimestaajabu kumuona ceo wa tanesco maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea kigoma we. Mimi labda siko tanzania au sielewi. Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika kigoma miezi kadhaa sasa imepita. Tena kukawa na maelezo kuhusu kuokolewa gharama kubwa kutokana na kuacha kutumika mafuta mazito.
Leo nashangaa eti kumbe bado umeme wa grid kufika kigoma. Hebu anayejua vizuri hii issue atujuze labda mimi hizi taarifa nilikua naota ndoto.
Naangalia taarifa ya habari ITV saa hivi nimestaajabu kumuona ceo wa tanesco maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea kigoma. Mimi labda siko tanzania au sielewi. Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika kigoma miezi kadhaa sasa imepita. Tena kukawa na maelezo kuhusu kuokolewa gharama kubwa kutokana na kuacha kutumika mafuta mazito.
Leo nashangaa eti kumbe bado umeme wa grid kufika kigoma. Hebu anayejua vizuri hii issue atujuze labda mimi hizi taarifa nilikua naota ndoto.
Tena walifanya tafrija ya kuzima majenereta, na kuwasha gridi ya taifa, tukio lilikuwa mubashara,Naangalia taarifa ya habari ITV saa hivi nimestaajabu kumuona ceo wa tanesco maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea kigoma. Mimi labda siko tanzania au sielewi. Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika kigoma miezi kadhaa sasa imepita. Tena kukawa na maelezo kuhusu kuokolewa gharama kubwa kutokana na kuacha kutumika mafuta mazito.
Leo nashangaa eti kumbe bado umeme wa grid kufika kigoma. Hebu anayejua vizuri hii issue atujuze labda mimi hizi taarifa nilikua naota ndoto.
hawa akina maharage ni aina ile ya viongozi wapuuzi.juzi tu nilikuwa pale kigoma mji na sikuona umeme wa gridi.nilichokiona ni kuwa umeme umeishia pale kasulu tu.kigoma mjini hakuna gridi na hata kituo cha kupozea umeme hakuna bali ni umeme wa majenerata.inasemekana kituo cha kupozea umeme kitajengwa Kidahwe njia panda ya kuelekea dar lkn mpaka sasa hakuna maandalizi yoyote.kimsingi gridi imeishi kasulu mjini tu.Naangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi.
Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika Kigoma miezi kadhaa sasa imepita. Tena kukawa na maelezo kuhusu kuokolewa gharama kubwa kutokana na kuacha kutumika mafuta mazito.
Leo nashangaa eti kumbe bado umeme wa grid kufika Kigoma. Hebu anayejua vizuri hii issue atujuze labda mimi hizi taarifa nilikuwa naota ndoto.
Moja kati ya sifa kubwa za Magufuli ilikuwa ni UONGO.Naangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi.
Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika Kigoma miezi kadhaa sasa imepita. Tena kukawa na maelezo kuhusu kuokolewa gharama kubwa kutokana na kuacha kutumika mafuta mazito.
Leo nashangaa eti kumbe bado umeme wa grid kufika Kigoma. Hebu anayejua vizuri hii issue atujuze labda mimi hizi taarifa nilikuwa naota ndoto.
Pole, Kwa kuamini majambaziNaangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi.
Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika Kigoma miezi kadhaa sasa imepita. Tena kukawa na maelezo kuhusu kuokolewa gharama kubwa kutokana na kuacha kutumika mafuta mazito.
Leo nashangaa eti kumbe bado umeme wa grid kufika Kigoma. Hebu anayejua vizuri hii issue atujuze labda mimi hizi taarifa nilikuwa naota ndoto.
Mkuu kumbe walivyosema kuwa umeme wa grid umefika Kigoma uliamini?! Kweli basi serikali inawaokota wengi!
Kumbe sikua naota ndoto na wewe ulisikia hizo porojo zao.Tena walifanya tafrija ya kuzima majenereta, na kuwasha gridi ya taifa, tukio lilikuwa mubashara,
Leo kuambiwa gridi ya taifa haijafika Kigoma nimeshangaa sana,
Wanasiasa sio wa kuwaamini sana,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Vipi Mzee mbona matusi Mengi, nimekuona umekuja na PM unatukana tu.maku ya mam. a yako.
Kwanini asiwe reported huyu mtu?Enhe Nakusikiliza