Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

Daahh nakumbuka kipindi kile nacheza Ps 2 hii ndio ilikiwa chama langu kubwa asee , Maximiliano Arnold, kaka, ronaldinho, pirlo , Dida , daaahhh cham lilisumbua xana enzi zake
Ila all n all chimbua tu vzr broo sio kukurupuka tuu , Watakucheka wa2uuu.....
Hahaaaaaa supa banko......
 
Zilipendwa hamna kitu hapo Sasa hivi
 
Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
Unafikili km kwenu tz mashabiki wote wako kariakoo… milan ina mashabiki wengi tu tena wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…