Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
Kula ugali wako na mandondo, ulale tu.wewe shabikia Simba na Yanga, AC Milan sio level yako 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
chizi wewe mtoto wa 2000 hamna unachojua kuhusu AC MILAN Kula maboga utulie
 
Ac Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
Toa MAn U hapo, Kipindi Inter na AC wanatawala Soka la Ulaya Miaka ya 60 Man U naye yupo same level AC anabeba 63, Inter 65 man U 66 etc. Unless hujui Kizazi cha kina Charlton.
 
Mmmhh Mashabiki wa simba na yanga wanakua mashabiki wa lipuli kama lipuli ikicheza na team ya kijiji kingine
Nenda iringa vijijini huko hawazijui simba na yanga usifikiri hii nchi Kila mtu anazijua simba na yanga
 
Back
Top Bottom