Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Isije ikawa nabishana na mtoto wa 2005Sasa mkuu mbona hunijibu swali uliangalia hiyo mechi live we si umesema unaijua ac Milan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije ikawa nabishana na mtoto wa 2005Sasa mkuu mbona hunijibu swali uliangalia hiyo mechi live we si umesema unaijua ac Milan
Kwahiyo nikiwa wa 2005 ndio nitashindwa kugoogle kama wewe ulivyogoogle au wewe uliishuhudia hiyo 1899Isije ikawa nabishana na mtoto wa 2005
Timu imechukua Uefa mara saba utasema hauna haina mashabiki? Kwa Yanga na simba zina uwanja?Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
Hata google yenyewe hauwezi kutumia bado sana hata dida humjui Clarence Clyde Seedorf humjui maldin humjuiKwahiyo nikiwa wa 2005 ndio nashindwa kugoogle kama wewe ulivyogoogle
Yanga na simba ni timu kubwa duniani mkuu unaakili timamuWashabiki sehemu gani? Umefika Italia ndiyo ukasema haina nashabikia?
Timu imechukua Uefa mara saba utasema hauna haina mashabiki? Kwa Yanga na simba zina uwanja?
Unaakili timamu mkuu hivi mtu anaweza kutaja kitu asichokijuaHata google yenyewe hauwezi kutumia bado sana hata dida humjui Clarence Clyde Seedorf humjui maldin humjui
Haujui kitu bado sana
Haujui kitu wewe bado sana na arsenal yako mbovu kama ulivyo weweUnaakili timamu mkuu hivi mtu anaweza kutaja kitu asichokijua
Naunga mkono hoja huyu kaanza kufatilia mpira juziAc Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
Wajuaji bhana mkibanwa kwenye hoja hua mnarukaruka kwani Mimi nimekuambia arsenal ni Bora we itakua unatatizo laakiliHaujui kitu wewe bado sana na arsenal yako mbovu kama ulivyo wewe
Tatizo wewe mwenyewe unagoogle hujaishuhudia hiyo ac milanNaunga mkono hoja huyu kaanza kufatilia mpira juzi
Huyu anatatizo pahala au uwenda shemeji kamnyima hela ya kula leoVijana hawana historia ya soka duniani ndiyo maana nyuzi kama hizi zinaibuka.
Kwahiyo wewe shemeji Yako anakupaga hela ya kula yaani unaishi Kwa kutegemea shemejiHuyu anatatizo pahala au uwenda shemeji kamnyima hela ya kula leo
Sasa hoja yako ni dhaifu sana na utaendelea kuonekana hauna akili ukisema Associazione Calcio Milan Haina mashabikiWajuaji bhana mkibanwa kwenye hoja hua mnarukaruka kwani Mimi nimekuambia arsenal ni Bora we itakua unatatizo laakili
Wewe huna unalojua zaidi ya kurukaruka nenda kagoogleSasa hoja yako ni dhaifu sana na utaendelea kuonekana hauna akili ukisema Associazione Calcio Milan Haina mashabiki
Umepaniki relax amigo pm yangu ipo wazi leta no yako nikupe hela ya kula mchana wa Leo mtoto mdogo weweKwahiyo wewe shemeji Yako anakupaga hela ya kula yaani unaishi Kwa kutegemea shemeji
Nimekuuliza swali unasema nimepaniki wewe shemeji Yako hua anakupa hela ya kula Mimi kweli mtoto mdogo ila wewe ni kubwa jingaUmepaniki relax amigo pm yangu ipo wazi leta no yako nikupe hela ya kula mchana wa Leo mtoto mdogo wewe
Unatatizo kubwa sana mwanangu 😀😃😀😀😀😀 Associazione Calcio Milan unasema Ina mashabiki wachache kama wewe kidume lete arsenal yako hapa San Siro sasaWewe huna unalojua zaidi ya kurukaruka nenda kagoogle
Mkuu wewe itakua kubwa jinga naomba mungu nisiwe na akili kama zako nikiwa mzeeUnatatizo kubwa sana mwanangu 😀😃😀😀😀😀 Associazione Calcio Milan unasema Ina mashabiki wachache kama wewe kidume lete arsenal yako hapa San Siro sasa
Sasa mwanetu mpira ukianza kufatilia ukubwana hili ndio tatizo inawezekana huna akili nimekwambia njoo pm nikupe hela ya kula hautakiNimekuuliza swali unasema nimepaniki wewe shemeji Yako hua anakupa hela ya kula Mimi kweli mtoto mdogo ila wewe ni kubwa jinga
Mkuu wewe itakua kubwa jinga