Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dah! HatariBado hujasema mkuu😂na utasema.
Majukumu ni ngumu kuyaacha, ila nawaza namna ya kubadili utaratibu. Yaani mtoto wa kwanza unapewa majukumu mazito, wakati mwingine uko mtoto unaambiwe, "wewe ndio mkubwa", "Una wadogo zako" haya yote ni kukufanya uone tayari uko uwanjani.Ukiacha kufanya majukumu ya mtoto wa kwanza kuna atakaye ichukua nafasi yako. Utagundua hilo wakati wa vikao vya familia.
Yule anayebeba majukumu ndiye anayesikilizwa, ndiye anayeheshimiwa, ndiye mwenye sauti pengine kuliko ya baba sema heshima hufata mkondo wake, ndiye anayeamua wawe na familia ya aina gani. Ndiye anayeamua identity na heshima ya familia kwenye jamii inayomzunguka.
Unaposikia familia ya Mengi au Familia ya Ongala, au Familia ya Kikwete, au Familia ya Osea, ile heshima ni matokeo ya kazi zilizofanywa na wazazi na uzao wao.
Mkuu, ni kweli ila binafsi naamini kuna malipo yake tofauti na kutokufanya. Ukishakuwa mtoto wa kwanza ni bora kujipa semina kabisa kuwa unatakiwa upate zaidi. Angalizo: Usibebe mzigo nje ya familia yenu, usihamie kwa mashangazi sijui wajomba. Hutotoka kwenye hiyo circle na utadondokea kwenye umasikini.Majukumu ni ngumu kuyaacha, ila nawaza namna ya kubadili utaratibu. Yaani mtoto wa kwanza unapewa majukumu mazito, wakati mwingine uko mtoto unaambiwe, "wewe ndio mkubwa", "Una wadogo zako" haya yote ni kukufanya uone tayari uko uwanjani.
Hao wa mashangazi watakufanya uwe masikini wa kutupwa ukiwaendekeza. Bora uchukiwe tu.Ukishaingia uwanjani ndio kimbembe kabisa, hadi mtoto wa shangazi unaletewa umuangalie wewe. Heshima unayopata ni ile tu "Huyu ndio atatuzika" yaani nazika mtu wakati mwenyewe sielewi dah
Unapigiwa simu na mzee wako anakuambia kuna mdogo wako nimempa namba yako anakuja huko. Unapigiwa simu mtu kashafika mjini anakusubiri kwa Magufuli, mzee wako anakuambia, sasa shangazi yako anaumwa, huyo mtoto ni mwanaye haukuwahi kumuona kwa kuwa alikuwa kwa ndugu yake wa kijijini, ila kwa kuwa wewe uko mjini tumeona umpeleke shule hata VETA ili amsaidie shangazi yako.Mkuu, ni kweli ila binafsi naamini kuna malipo yake tofauti na kutokufanya. Ukishakuwa mtoto wa kwanza ni bora kujipa semina kabisa kuwa unatakiwa upate zaidi. Angalizo: Usibebe mzigo nje ya familia yenu, usihamie kwa mashangazi sijui wajomba. Hutotoka kwenye hiyo circle na utadondokea kwenye umasikini.
Hao wa mashangazi watakufanya uwe masikini wa kutupwa ukiwaendekeza. Bora uchukiwe tu.
Nyie watoto wa mwisho mnaruhusiwa kuwa na midekoPole Sana.
😅😅😅Nyie watoto wa mwisho mnaruhusiwa kuwa na mideko
Mzee wako unamwambia bila woga kuhusu ukomo wa majukumu yako na yake kwa ndugu zake. Yeye atatafuta busara ya kuzungumza nao wanapohitaji msaada.Unapigiwa simu na mzee wako anakuambia kuna mdogo wako nimempa namba yako anakuja huko. Unapigiwa simu mtu kashafika mjini anakusubiri kwa Magufuli, mzee wako anakuambia, sasa shangazi yako anaumwa, huyo mtoto ni mwanaye haukuwahi kumuona kwa kuwa alikuwa kwa ndugu yake wa kijijini, ila kwa kuwa wewe uko mjini tumeona umpeleke shule hata VETA ili amsaidie shangazi yako.
Hapo wewe utafanyaje, na mtoto wa watu kashafika mjini.
Acha ujinga wewe, mjomba wangu ana watoto wanne mdogo wa mwisho kafanikiwa kama ajafika kikao akifanyiki mpaka awepo na yeye ndio anaongea sana kuliko wengine. Sasa hivi aliyefanikiwa zaidi ndio anasikilizwa.Ukiacha kufanya majukumu ya mtoto wa kwanza kuna atakaye ichukua nafasi yako. Utagundua hilo wakati wa vikao vya familia.
Yule anayebeba majukumu ndiye anayesikilizwa, ndiye anayeheshimiwa, ndiye mwenye sauti pengine kuliko ya baba sema heshima hufata mkondo wake, ndiye anayeamua wawe na familia ya aina gani. Ndiye anayeamua identity na heshima ya familia kwenye jamii inayomzunguka.
Unaposikia familia ya Mengi au Familia ya Ongala, au Familia ya Kikwete, au Familia ya Osea, ile heshima ni matokeo ya kazi zilizofanywa na wazazi na uzao wao.
Kuna koo zina maajabu yake. Siwezi kukukatalia. Hapo ni kupambana kulingana na hali yenu boss.Acha ujinga wewe, mjomba wangu ana watoto wanne mdogo wa mwisho kafanikiwa kama ajafika kikao akifanyiki mpaka awepo na yeye ndio anaongea sana kuliko wengine. Sasa hivi aliyefanikiwa zaidi ndio anasikilizwa.
Ukiona kikao hakifanyiki bila wewe, jua wewe ukoo ni wako, unaangaliwa wewe kwa kila kitu, ni nzuri na ni mbayaacha ujinga wewe, mjomba wangu ana watoto wanne mdogo wa mwisho kafanikiwa kama ajafika kikao akifanyiki mpaka awepo na yeye ndio anaongea sana kuliko wengine.
Sasa hivi aliyefanikiwa zaidi ndio anasikilizwa
Dr Mwinyi si mtoto wa kwanza but ndio mlezi wa wenzie 🐒Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni mtoto wa kwanza eekh"
Kwenye jamii ni ngumu kujua mtoto wa kati, ila wa kwanza na wa mwisho ni rahisi kumbaini. hivi hili suala la mtoto wa kwanza kuwa mzazi ni dunia nzima au ni bongo tu?
Mimi kwetu ni wa kwanza, aisee, naombeni mwenye kamba aniuzie kwa bei yeyote, nina kazi nayo
Pole sana Mkuu. Mimi kamba ninayo ila naogopa nisije kuwasaidia jamaa katika hilo unalokusudia kulifanya. Kaza buti na mwisho utafanikiwa tu.Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni mtoto wa kwanza eekh"
Kwenye jamii ni ngumu kujua mtoto wa kati, ila wa kwanza na wa mwisho ni rahisi kumbaini. hivi hili suala la mtoto wa kwanza kuwa mzazi ni dunia nzima au ni bongo tu?
Mimi kwetu ni wa kwanza, aisee, naombeni mwenye kamba aniuzie kwa bei yeyote, nina kazi nayo
Huku ni kutafutana ubaya tuUnapigiwa simu na mzee wako anakuambia kuna mdogo wako nimempa namba yako anakuja huko. Unapigiwa simu mtu kashafika mjini anakusubiri kwa Magufuli, mzee wako anakuambia, sasa shangazi yako anaumwa, huyo mtoto ni mwanaye haukuwahi kumuona kwa kuwa alikuwa kwa ndugu yake wa kijijini, ila kwa kuwa wewe uko mjini tumeona umpeleke shule hata VETA ili amsaidie shangazi yako.
Hapo wewe utafanyaje, na mtoto wa watu kashafika mjini.