Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam.
Napishana navyo sana huko road inaonekana vinaeleweka MNO kwa MIDDLE INCOME wasiotaka kashkash za daladala kupumuliana hovyo na kufika ofisini nguo zimejikunja viatu vimekanyagwa yaani ni HUZUNI😬.
Wakali wa hivi vigari ebu tupeane tips na uzoefu vipi je,
1. Ni imara havina usumbufu wa kuaribika hovyo kwenye main part kama ENGINE na GEAR BOX.
2.BODY lake ni GUMU au ni hovyohovyo tu.Maana kwa bei ya mtandaoni kanashawishi na hivi 1LITRE KANA SUKUMA 20.8KM hii ni neema kwa sisi mapopo na wabangaizaji wa mjini kuliko kupanda boda au bolt bora kumiliki haka ka mkebe.
📌📌📌Mapovu,kejeli,dhihaka,kubagaza ruksa tukutane kwenye comment tutoane badamu kama bamutu ba Congooo🙌🙌🙌
Mad Max