Unatamani uliyemwuzia umrudishie pesa yake na cheji juu. Kweli Old is GoldNilikuwa na Vits old model milango minne, gear box manual, 4 cylinder, cc 990!
Aisee kale kagari mpaka kesho huwa ninajilaumu kwa nini nilikauza. Maana kalikuwa stable barabarani, na kanatembea balaa! Halafu mafuta kalikuwa kananusa tu.