Nilikuwa na Vits old model milango minne, gear box manual, 4 cylinder, cc 990!
Aisee kale kagari mpaka kesho huwa ninajilaumu kwa nini nilikauza. Maana kalikuwa stable barabarani, na kanatembea balaa! Halafu mafuta kalikuwa kananusa tu.
Safi Mkuu.
Pia unaweza cheki na haka Ka Mitsubishi Mirage 2012 - 2015 huko mtaani Be forward maana bei Mil 7 na kitu na kodi Mil 5 na kitu. Cc kanachezea 900cc - 1000cc.
Ubao unasoma 200km/h
Safi Mkuu.
Pia unaweza cheki na haka Ka Mitsubishi Mirage 2012 - 2015 huko mtaani Be forward maana bei Mil 7 na kitu na kodi Mil 5 na kitu. Cc kanachezea 900cc - 1000cc.
Ubao unasoma 200km/h