Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
- #21
Ujuaji mwingi sana wabongo mnajifanya wajuvi wa kila kitu yani mnataka kingereza mlichofundishwa darasan kiongelelewe vile vile, kwani nyie mkwenye kiswahili huwa mnafuatilia kanuni zote za utamkaji wa maneno ya kiswahili?
Unaona mada hapo juu inasemaje kiongozi...? Mbele ya tittle yangu sijaweka an exclamation mark nimeweka question mark nikiwa nina maana ya kuuliza swali, Je hiki Kiingereza/sentensi iko sawa mkuu...?