Hivi hiki Kiingereza kwenye Royal Tour kipo sawa?

Hivi hiki Kiingereza kwenye Royal Tour kipo sawa?

This is the beginning of......(Nami wa kayumba mwenzako ndo nilivyowaza[emoji16])

Na ndivyo inavyotakiwa kuwa kiongozi ila sijui shida iko wapi kati ya watu wote waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo movie mpaka inazinduliwa wameshindwaje kung'amua hilo kosa aisee.
 
Back
Top Bottom