Hivi hiki Kiingereza kwenye Royal Tour kipo sawa?

Ujuaji mwingi sana wabongo mnajifanya wajuvi wa kila kitu yani mnataka kingereza mlichofundishwa darasan kiongelelewe vile vile, kwani nyie mkwenye kiswahili huwa mnafuatilia kanuni zote za utamkaji wa maneno ya kiswahili?

Unaona mada hapo juu inasemaje kiongozi...? Mbele ya tittle yangu sijaweka an exclamation mark nimeweka question mark nikiwa nina maana ya kuuliza swali, Je hiki Kiingereza/sentensi iko sawa mkuu...?
 
Ila mama anajitahidi sana tofauti na yule marehemu Fontfed

Sawa kiongozi hilo sikatai ila hawa wasaidizi wa Rais wanashindwaje kumuweka sawa Rais pale panapotokea kosa linaloweza kurekebishika mkuu...?
 

Ignore that mistake, haiitaji uzi
 

Hahahah ujuaji uko wapi dada...? Hatujui ndio maana tukauliza je hiki Kiingereza kipo sawa ili wadau watusaidie kufahamu dada.
 
Barack Obama alikua ndo kiongozi namba moja anaongea kingereza kwa ufasaha kuliko wengine wote duniani yaan malkia mwenyewe hamfikii Obama ,sembuse mama yetu hapa bongo ambaye ni karani na kutoka ukarani Hadi mchumi wa sua mzumbe ....we vipi bwaaaaaana
 
President George W. Bush.
English ya watu wazima!
 
Unaongea pumba gani wewe
 

Kweli kina kirefu aisee...!

🤣
 
This is the beginning of......(Nami wa kayumba mwenzako ndo nilivyowaza[emoji16])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…