Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,162 Reaction score 2,616 May 15, 2022 Thread starter #41 Abd al Qadir said: This is the beginning of......(Nami wa kayumba mwenzako ndo nilivyowaza[emoji16]) Click to expand... Na ndivyo inavyotakiwa kuwa kiongozi ila sijui shida iko wapi kati ya watu wote waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo movie mpaka inazinduliwa wameshindwaje kung'amua hilo kosa aisee.
Abd al Qadir said: This is the beginning of......(Nami wa kayumba mwenzako ndo nilivyowaza[emoji16]) Click to expand... Na ndivyo inavyotakiwa kuwa kiongozi ila sijui shida iko wapi kati ya watu wote waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo movie mpaka inazinduliwa wameshindwaje kung'amua hilo kosa aisee.