EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri ndio wanakuvaa ukiwa umelala