EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
- Thread starter
- #61
Mshenzi sana wewe mtotoKwani ulishawahi experience hiyo kitu kukuta uteute mkuu???
Mshenzi sana wewe mtotoKwani ulishawahi experience hiyo kitu kukuta uteute mkuu???
Kama huna hoja nzuri mkuu nazan ingefaa tu ukae kimya. Na kama mimi ni mtoto kwako ni sawa huenda ndio hoja yako ya kujitetea.Mshenzi sana wewe mtoto
Tuheshimiane bwana mdogoKama huna hoja nzuri mkuu nazan ingefaa tu ukae kimya. Na kama mimi ni mtoto kwako ni sawa huenda ndio hoja yako ya kujitetea.
👍👍Tuheshimiane bwana mdogo
Hapo sawa,wengi nimewaroga humu
🤣🤣🤣😂Hapo sawa,wengi nimewaroga humu
Saw mkuuHapo sawa,wengi nimewaroga humu
Naona umekubali yaisheSaw mkuu
Yeah!!!Naona umekubali yaishe
Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri ndio wanakuvaa ukiwa umelala
I don't know,Pengine kuna situation mbili tofauti ambazo ni tofauti,kuna kuvamiwa na mchawi na sleeping paralysis pengine nimechanganya vitu ila kwenye situation yangu huwa nahisi kabisa ni kiumbe tena siku moja nilikuwa kama nimeukamata mkono mwembamba wenye vidole vyembamba nikajaribu kama kuuang'ataMiafrika na imani za kijinga, hii ni sayansi sio ushirikina, ni tatizo lililokua linanijia sana, nililitatua kwa kuhakikisha nafuata ratiba ya kulala bila kupindisha, kama ukiamua uwe unalala saa nne usiku, usiwe unapitiliza kisa movies na series, lala huo muda mara moja.
Mwili una kitu kinaitwa biological clock, just be consistent in your sleeping pattern like a soldier.