Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,160
- 1,748
Kwani hiyo ni hali gani?
Mbona hiyo alcohol ndo kama imenisaidia kuondoa tatizo 😀Sleeping paralysis s temporary inability to move and speak while falling asleep
cause
- irregular sleeping schedule
-stress
-sleepig disorder
-sleepig position especially sleep in your back.
-substance use like alcohol
-other health conditions such as high blood pressure,PTSD
Ndio hivyo. Sleep paralysis.Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri ndio wanakuvaa ukiwa umelala
IpoHiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri ndio wanakuvaa ukiwa umelala
Kabisa na ndo utakacho kumbuka.Ikitokea hivyo ukitaja jina la YESU tu hiyo hali inapotea.
Ufafanuzi tafadhali bwashee
Mpaka.sasa hivi unakabwaTuacheni utani miaka sio mingi wakati nipo form six Kuna mshkaji wa kitaa alinishawishi twende Kwa mganga anisaidie nifaulu ila kilichonikuta nikiwa boarding Kila siku nikienda kulala kama baada ya nusu saa jinamizi linanikaba ikanipelekea nishindwe kujisomea usiku mpaka nikafeli, kuanzia hapo nikaamini mambo ya uchwi yapo kweli
Aisee haya mauzauza hatari,sijui inakuwaga ni nini,kwa sisi tunaolala na simu unahisi kama kuna mtu yupo anataka kuchukua simu unaishindilia chini ya mto kitu hiki unakifanya ukiwa kwenye mleoleo wa usingizi na si ukiwa na akili timamuile umelala unaona kabisa njemba hii apa,inataka kukusalua blanket yako,mara inaiba cm chini ya mto, kutaka kupga kelele huwez,kugeuka huwezi aaaaaah.....
Huwezi kufanya chochoteIkitokea hivyo ukitaja jina la YESU tu hiyo hali inapotea.
Yup,wazungu wanaita succubus na saccubusNdo ile wengine toka utotoni tunaiitaga JINAMIZI sindiyo?
Imepungua mara chache inanitokea, mara ya mwisho kukabwa ni kama miezi miwili imepita,nilihisi kama mtoto anafungua mlango akaja kunikabaMpaka.sasa hivi unakabwa
eeeeeh mie mkristo pure,,huko kukemea sasa ad kieleweke io sleeping paralysis hua nagundua nikistuka😂😂😂Aisee haya mauzauza hatari,sijui inakuwaga ni nini,kwa sisi tunaolala na simu unahisi kama kuna mtu yupo anataka kuchukua simu unaishindilia chini ya mto kitu hiki unakifanya ukiwa kwenye mleoleo wa usingizi na si ukiwa na akili timamu
Mganga alikupa madawaImepungua mara chache inanitokea, mara ya mwisho kukabwa ni kama miezi miwili imepita,nilihisi kama mtoto anafungua mlango akaja kunikaba
Alinipa dawa ya kuogea na nyingine ya kuchoma kama ubaniMganga alikupa madawa
Alinipa dawa ya kuogea na nyingine ya kuchoma kama ubaniMganga alikupa madawa
Alafu hii inakukuta upo macho kabisa😁😆ile umelala unaona kabisa njemba hii apa,inataka kukusalua blanket yako,mara inaiba cm chini ya mto, kutaka kupga kelele huwez,kugeuka huwezi aaaaaah.....