EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Wasihiri ndio watu gani?kumbe wasihiri ndio wanakuvaa ukiwa umelala
Wachawi,wageregere,washirikina,washirikaWasihiri ndio watu gani?
Ni nini,halafu kwanini ina-interrupt njoziSio uchawi
Huwa inakukuta?,embu eleza kwa kifupi inavyokuwa tuachane na Google tuje kwenye experienceSleeping paralysis s temporary inability to move and speak while falling asleep
cause
- irregular sleeping schedule
-stress
-sleepig disorder
-sleepig position especially sleep in your back.
-substance use like alcohol
-other health conditions such as high blood pressure,PTSD
Mimi huwa namuhisi kabisa ni mtu kuna siku nilihisi kama mtu amekaa tumboniile umelala unaona kabisa njemba hii apa,inataka kukusalua blanket yako,mara inaiba cm chini ya mto, kutaka kupga kelele huwez,kugeuka huwezi aaaaaah.....
Vyovyote utakavyoamua kuhusu ndivo uta sense hata ukisema uingie hofu huyo mtu akupige unahisi kweli anakupiga kumbe hamna kitu..Mimi huwa namuhisi kabisa ni mtu kuna siku nilihisi kama mtu amekaa tumboni
Hamna kitu kama hicho,mtu umelala zako unaanza kabisa kuhisi hali ngeni imekuvaaVyovyote utakavyoamua kuhusu ndivo uta sense hata ukisema uingie hofu huyo mtu akupige unahisi kweli anakupiga kumbe hamna kitu..
Nini chakufanya
Waza kwamba hii ni Hali ya kawaida na haisababishi KIFO jisemee mwenyew nahesabu mpaka 20 Hali hio ikitokea..Anza kuhesabu kimoyomoyo...ikikutoka usilale amka kwanza fanya vimazoezi maana huwa ina tabia ya kujirudia hasa ukiwa mitungi
Haina ishu NI ganzi Tu upande wa kichwa sema me siiogopi siku hizi ila sipendi vile kupumua kunakuwa kama kwa shida hivi NI kama unakata rohoHamna kitu kama hicho,mtu umelala zako unaanza kabisa kuhisi hali ngeni imekuvaa
Huwa unafight kuamka au unasubiri amalizie kukukabaHaina ishu NI ganzi Tu upande wa kichwa sema me siiogopi siku hizi ila sipendi vile kupumua kunakuwa kama kwa shida hivi NI kama unakata roho
Hata ukilala kiubavu inaweza kuja,japo ukilala chali possibility inakuwa kubwa,mimi huwa inaanza na ndoto mbovuHii Hali Ilinikumba mwaka juzi mwili ulipiludi katika Hali ya kawaida usiku ule usingizi ulikata mpaka asubui. Ila ukilala ubavu Hali hio uwezi kuiona