Hivi hiki kitu kinaitwa sleeping paralysis ni cha kweli au ni wachawi wanafanya yao

Mbona hiyo alcohol ndo kama imenisaidia kuondoa tatizo 😀
 
Ndio hivyo. Sleep paralysis.
Ukiwa na hofu zako, waweza fikiri kuna mchawi amekukandamiza.
Hakuna uchawi hapo.
 
Hiyo hali ni jambo la kawaida, japo kwa mtu asiye kuwa na uelewa kuihusu anaweza ipea Majin mbalimbali hasa hasa negative names.
Mimi pia nilikuwa miongon mwa kuikemea san hii hali na nilikuwa naiogop san siku ikinitokea nilikuwa silali mpka pakuche.
Lakin saiz naon ni jambo la kawaida ambalo likitokea naon ni sawa na huwa naiach nion vitu gan vinatokea lkn process hiyo siimaliz nakut nimerud kweny hali ya kawaida tu
 
Ipo
 
Tuacheni utani miaka sio mingi wakati nipo form six Kuna mshkaji wa kitaa alinishawishi twende Kwa mganga anisaidie nifaulu ila kilichonikuta nikiwa boarding Kila siku nikienda kulala kama baada ya nusu saa jinamizi linanikaba ikanipelekea nishindwe kujisomea usiku mpaka nikafeli, kuanzia hapo nikaamini mambo ya uchwi yapo kweli
 
Ukitaka kujua ni mambo ya giza, siku ukisali ndio ulale haiji. Mimi ilikuwa inanitokea sana mchana, maana nikirudi nimechoka nalala tu bila kusali. Ila nilipogundua, siku hizi hata nikilala mchana nasali kwanza .
 
Mpaka.sasa hivi unakabwa
 
ile umelala unaona kabisa njemba hii apa,inataka kukusalua blanket yako,mara inaiba cm chini ya mto, kutaka kupga kelele huwez,kugeuka huwezi aaaaaah.....
Aisee haya mauzauza hatari,sijui inakuwaga ni nini,kwa sisi tunaolala na simu unahisi kama kuna mtu yupo anataka kuchukua simu unaishindilia chini ya mto kitu hiki unakifanya ukiwa kwenye mleoleo wa usingizi na si ukiwa na akili timamu
 
eeeeeh mie mkristo pure,,huko kukemea sasa ad kieleweke io sleeping paralysis hua nagundua nikistuka😂😂😂
 
ile umelala unaona kabisa njemba hii apa,inataka kukusalua blanket yako,mara inaiba cm chini ya mto, kutaka kupga kelele huwez,kugeuka huwezi aaaaaah.....
Alafu hii inakukuta upo macho kabisa😁😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…