Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Sasa si angeongea kiswahili tu kama boss wake siku hizi?
What I heard from her was a language similar to English.
 
Tatizo sio matamshi mabaya Bali matamshi mabovu na kutafuta maneno na kuungaunga kwa kuchapia,watu wa science na maths tunajua kuwa sio wazuri sana kwenye kuongea porojo nyingi,wao ni wazuri kwny vitendo,ila lugha na u processor wake lazima aijue vzr na atamke maneno mazuri maana huo u processor hakuupata kwa kufundishwa kiswahili darasani,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The science of gambling on the future (to access risk of potential event) Tunatumia mathematics, statistics, economics and financial theory .

Nashindwa kuielezea kwa kiswahili.


Gambling on the future??-- to access risk of potential future!!, how??, would please cite an example!,

Halafu science hii imeanza lini?? By the way.
 

Hoja yako hapa ni nini? Yeye abaki kutishia tu kwa kusema kibiriti kimejaa. Ni vyema ukakaa kimya tu, sio kwa aibu hii.
 
Naweza kukukashifu lakini haina sababu..

Hata ukimkashifu itakuwa ni hasira iliyochanganyika na fedheha na aibu. Ni bora ukae kimya tu, hapa ni kama unazuia risasi kwa debe.
 
Hivi mwanaye "Dajos" naye si amesoma Canada!? Mbona anakiingereza kizuri kuliko mama?
Sasa alipoanza mama kusoma enzi hizo ni tofauti na kipindi mtoto alipoanza kusoma, hivyo lafudhi na mtiririko wa lugha utakuwa tofauti
 
Hata ukimkashifu itakuwa ni hasira iliyochanganyika na fedheha na aibu. Ni bora ukae kimya tu, hapa ni kama unazuia risasi kwa debe.
Mkuu 'Tindo' ngoja nikupe hii: hilo debe limetengenezwa kwa kitu inaitwa 'graphene'. Ulishawahi isikia?

Risasi haipenyi hapo!
 
Hana elimu gani tena?
 
Kiingereza kikisha kuwa affected na accent yako toka utotoni ndio inakuwa hivyo, na ma professor wengi iwe wa bongo au nchi zingine nao matamshi yao hayako sawa, hivyo kusomea canada ukubwani ni ngumu kubadilisha accent yake.

Kakosea wapi au umekariri sound za filamu za kifilipino unataka mama aongee hivyo au ujui kuna east africa english ujui acheni ushamba wenu mama kakosea nini fluent inawadatisha mama anatoa sentensi zenye maana na hazina makosa kisarufi uko kuongea kwake kwa kustop stop ndio hajui au msimchukulie pouwa mama yupo vizuri
 
Hoja yako hapa ni nini? Yeye abaki kutishia tu kwa kusema kibiriti kimejaa. Ni vyema ukakaa kimya tu, sio kwa aibu hii.
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…