THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Ohhh economics..!!Hesabu kweli ni za kutosha.
Mathematics yenyewe , Economics ni hesabu, finance ni hesabu.
Nafikisha salamu Thomas
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhh economics..!!Hesabu kweli ni za kutosha.
Mathematics yenyewe , Economics ni hesabu, finance ni hesabu.
Nafikisha salamu Thomas
Hostess vs hostage.Bora hata huyu, yule mtaalamu wa sheria kwenye Hardtalk alisema you can call back them akiwa na maana unaweza ukawapigia simu.
Sasa si angeongea kiswahili tu kama boss wake siku hizi?Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudia mara kumi cjaelewa huyu si kasoma mpaka PhD kwa kiingereza hiki ni kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol, si kweli.
Unajua 'Actuarial Science'? Nina shahada ya hii kitu
The science of gambling on the future (to access risk of potential event) Tunatumia mathematics, statistics, economics and financial theory .
Nashindwa kuielezea kwa kiswahili.
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
The science of gambling on the future (to access risk of potential event) Tunatumia mathematics, statistics, economics and financial theory .
Nashindwa kuielezea kwa kiswahili.
Enzi zetu tukiwa sekondari tuliita kiingereza cha kuombes maji.Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipo hapa kutetea bali naeleza nachokijua,mtu ana Phd halafu et uje kutilia mashaka phd yake kisa hamudu kuzungumza vizuri kiingereza! Hii ni kwa sababu mnashindwa kuelewa kwanini wanashindwa kuongea vizuri kiingereza ndio matokeo yake mnaenda kuhusisha na Phd zao.
Mnashindwa kutofautisha kati ya kutokujua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza ndiyo maana mnashangaa mwenye Phd kutokumudu kuongea vizuri kiingereza.
Naweza kukukashifu lakini haina sababu..
Sasa alipoanza mama kusoma enzi hizo ni tofauti na kipindi mtoto alipoanza kusoma, hivyo lafudhi na mtiririko wa lugha utakuwa tofautiHivi mwanaye "Dajos" naye si amesoma Canada!? Mbona anakiingereza kizuri kuliko mama?
Mimi nimependa jicho alilokAtwa na mwenzie wa tatu toka kushoto.Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'Tindo' ngoja nikupe hii: hilo debe limetengenezwa kwa kitu inaitwa 'graphene'. Ulishawahi isikia?Hata ukimkashifu itakuwa ni hasira iliyochanganyika na fedheha na aibu. Ni bora ukae kimya tu, hapa ni kama unazuia risasi kwa debe.
Hana elimu gani tena?Tanzania ni nchi pekee ambapo waziri wa elimu hana elimu.
Yale yale ya intaprinyuwa!
Ze dota of ze cow and ze water!
Na ana ujasiri wa kuwaita wenzake vilaza, tena hadharani!
Duh! Najiuliza tu alikuwa anafundishaje hapo udsm - the "cream of the nation". Heheheee
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya kofia haiminimize accident bali inamlinda mvaaji. Salama haizuii muingiliano ila inamlinda mvaaji.Safety bro. At site ishu kubwa ni ku minimize Accidents as possible.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza kikisha kuwa affected na accent yako toka utotoni ndio inakuwa hivyo, na ma professor wengi iwe wa bongo au nchi zingine nao matamshi yao hayako sawa, hivyo kusomea canada ukubwani ni ngumu kubadilisha accent yake.
Kakosea wapi au umekariri sound za filamu za kifilipino unataka mama aongee hivyo au ujui kuna east africa english ujui acheni ushamba wenu mama kakosea nini fluent inawadatisha mama anatoa sentensi zenye maana na hazina makosa kisarufi uko kuongea kwake kwa kustop stop ndio hajui au msimchukulie pouwa mama yupo vizuriWacha kutetea upimbi wewe!! Lugha uliyosomea na kuandikia mpaka ukapata uprof leo inakushindaje mwana zuoni na waziri wa elimu?!? Walimu waongee nini sasa?? Huwa wanasema shule za kata mtoto wa form four anashindwa kiinglishi cha latatu Leo tumeona profeza anashindwa kingleza cha lakwanza... You wiki steyi inisaidi ndonini?? Oni the seli?? The the zakutosha bwahahahhhaaaa.... ndomana hawataki kuifanyia mageuzi elimu yetu!!
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.Hoja yako hapa ni nini? Yeye abaki kutishia tu kwa kusema kibiriti kimejaa. Ni vyema ukakaa kimya tu, sio kwa aibu hii.