Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Halafu amekaa na kusoma Canada, amekuwa na safari nyingi sana za nje

Najiuliza je hao walimu anaowasimanga kila siku na masikini hawajavuka hata mpaka wa nchi hii wataongea kiingereza kipi kama yeye kinara wao ndiyo huyo!
 
Acha kutetea ujinga, yani usome canada miaka mitatu alafu useme nasoma sayansi english sitakiwi kujua? Una akili wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo PhD aliipata kwa lugha gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mkuu wake kuna tetesi alifoji thesis, hawa watu wanasoma ili wapate cheti sio ujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....
Yawezekana ndiyo zile Phd za pichu!
Inasikitisha sana sana...
 
Acha kutetea ujinga. Alafu toka lini elion musk amepata PhD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasoma canada miaka mitatu alafu hujui english? Tuache ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kusoma kwake Canada, ila exposure tu alio pata kama Waziri wa elimu wa Tz seminar za kimataifa wageni wakimataifa paper anazo present kwa niambia ya Tanzania kwa miaka zaidi ya 10 wakati ni katibu wa necta na Waziri wa elimu zinatosha mtu hasio kilaza ku improve fluency ya spoken yake, ila huyu mama hapana iq yake iko below average.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…