Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu amekaa na kusoma Canada, amekuwa na safari nyingi sana za njeHuyu mama ni mpuuzi sana. Alikuwa anajishongondoa mno na kujiona yeye ndio mwanataaluma bora kuliko yeyote nchini.
Mikogo kibao kumbe ziro mbumbumbu tupu.
Alishawahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu. Sijui alikuwa anafundisha namna gani kwa lugha ile ya kipumbafu!
Alishawahi kuwa msimamizi wa baraza la mitihani la Taifa. Sijui alikuwa anasimamia kitu gani kwa lugha ile!
Amejiaibisha sana! Ujuaji mwiiingiiiiii kumbe debe tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea ujinga, yani usome canada miaka mitatu alafu useme nasoma sayansi english sitakiwi kujua? Una akili wewe?Bandugu lugha na taaluma hasa za sayansi havina uhusiano.
Tumesoma na waganda na wakenya Engineering tunaosema ni wajuzi wa kingereza lakini walikuwa wana disco (kufeli) sisi watanzania tunapeta.
Masomo ya sayansi sio ya sheria au uchumi kule ni formula tu.
Professor wetu yuko vizuri mno mimi namfahamu alikuwa anatupeleka puta chuoni namfahamu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu nyingi zipi? Hiyo aliipata kwa lugha gani? Na canada hawatumii english?
Hiyo PhD aliipata kwa lugha gani?PhD yake sio ya kiingereza, na hiyo siyo lugha yake ya kwanza.
Acheni utoto, stop this nonsense talk.
Kwa mfano mwenye PhD ya mambo ya lugha unamtaka awe mhandisi mzuri sababu ana elimu ya kiwango cha PhD haijalishi amebobea kwenye nini?
Being a PhD holder does not make you 'A Jack of all trades' and a master of everything.
Hata mkuu wake kuna tetesi alifoji thesis, hawa watu wanasoma ili wapate cheti sio ujuzi.Lugha rasmi ya sheria na biashara nchi hii ni English. Haiwezekeni mtu aliesoma primary (ambako kwa umri wake English ilikua inafundishwa kuanzia darasa la 3), sekondari lugha ya kufundishia ilikuwa English, higher education kasomea in English, PhD kasomea Canada in English, documentation ZOTE alikofanyia kazi zipo kwa Kiingereza; still unadhani hakuna tatizo yeye kuongea English aliyoongea?
Hatumtarajii awe fluent kama mtu aliesomea linguistic as a profession; but to fail constructing a simple sentence in English??!! A PhD holder who studied in Canada in a program conducted in English??!! REALLY???
Haya; tumpime basi hata kwenye logic kwa kauli zake; are you satisfied with how she explains issues?
To me this smells forgery somewhere.
Acha kutetea ujinga. Alafu toka lini elion musk amepata PhD?Kitu unachosahau kuzungumza nacho ni kipaji kama vipaji vingine, sio kila mtu anakipaji hicho.
Kuandika nako ni kipaji kama vipaji vingine.
Mfano Elon Musk hana kipaji kikuwa cha kuzungumza kama alivyo kuwa marehemu Steve Jobs ingawa wote kiingereza ni lugha yao ya kwanza.
Elon yeye ni PhD holder. Akiongea utamsikia anaweka zile Eenh .., Mmmh ... nyingi na kusita sita huku akitafuta maneno ya kuongea.
Steve yeye alikuwa ni high school graduate tu na college dropout lakini alikwa bora sana ktk kuongea.
A PhD holder? Seriously?Kingereza si Lugha yetu jamani,Kwa makosa hayo madogo anaeleweka tu.Kama ingekuwa anatukorogea kwenye Swahili tungempa case.
Inferiority complex yake ndo imemutuma alitaka kuhakikisha watu kwamba yeye ni profesa anae jua lugha zote.......kumbe Mungu ndo anamuumbua mbele ya WatanzaniaKama analijua hilo nani kamtuma kutumia lugha adhimu asiyo ijua??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kusoma kwake Canada, ila exposure tu alio pata kama Waziri wa elimu wa Tz seminar za kimataifa wageni wakimataifa paper anazo present kwa niambia ya Tanzania kwa miaka zaidi ya 10 wakati ni katibu wa necta na Waziri wa elimu zinatosha mtu hasio kilaza ku improve fluency ya spoken yake, ila huyu mama hapana iq yake iko below average.
Imagine nibishane na mtu wa aina yako, Bishana na watoto wenzakoAcha ujanja janja, PhD kwa kiingereza alafu kikushinde na bado ujione uko sawa? Nina wasiwasi na ubongo wako. Ukitetea ujinga jua na wewe una ujinga kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Iz yu ze same same like le profesori ndaliwize?..[emoji34][emoji34]
Waingeleza wa Tanzania mshaanza maneno yenu.
Acha kutafuta kichaka cha kujificha, nani kasema tunabishana hapa, ninakuelimisha bro. Lakini mwisho wa siku maamuzi ni yako kama utaelelimika au lah ubaki na ujinga wako.Imagine nibishane na mtu wa aina yako, Bishana na watoto wenzako
Wewe uliesomea uk mbona uashinda jf tu,aliekwambia kusomea canada miaka mitatu ni kujua kiingereza ni nani