Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Huyu mama ni mpuuzi sana. Alikuwa anajishongondoa mno na kujiona yeye ndio mwanataaluma bora kuliko yeyote nchini.

Mikogo kibao kumbe ziro mbumbumbu tupu.

Alishawahi kuwa mwalimu wa chuo kikuu. Sijui alikuwa anafundisha namna gani kwa lugha ile ya kipumbafu!

Alishawahi kuwa msimamizi wa baraza la mitihani la Taifa. Sijui alikuwa anasimamia kitu gani kwa lugha ile!

Amejiaibisha sana! Ujuaji mwiiingiiiiii kumbe debe tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu amekaa na kusoma Canada, amekuwa na safari nyingi sana za nje

Najiuliza je hao walimu anaowasimanga kila siku na masikini hawajavuka hata mpaka wa nchi hii wataongea kiingereza kipi kama yeye kinara wao ndiyo huyo!
 
Bandugu lugha na taaluma hasa za sayansi havina uhusiano.
Tumesoma na waganda na wakenya Engineering tunaosema ni wajuzi wa kingereza lakini walikuwa wana disco (kufeli) sisi watanzania tunapeta.
Masomo ya sayansi sio ya sheria au uchumi kule ni formula tu.
Professor wetu yuko vizuri mno mimi namfahamu alikuwa anatupeleka puta chuoni namfahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea ujinga, yani usome canada miaka mitatu alafu useme nasoma sayansi english sitakiwi kujua? Una akili wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PhD yake sio ya kiingereza, na hiyo siyo lugha yake ya kwanza.
Acheni utoto, stop this nonsense talk.
Kwa mfano mwenye PhD ya mambo ya lugha unamtaka awe mhandisi mzuri sababu ana elimu ya kiwango cha PhD haijalishi amebobea kwenye nini?
Being a PhD holder does not make you 'A Jack of all trades' and a master of everything.
Hiyo PhD aliipata kwa lugha gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha rasmi ya sheria na biashara nchi hii ni English. Haiwezekeni mtu aliesoma primary (ambako kwa umri wake English ilikua inafundishwa kuanzia darasa la 3), sekondari lugha ya kufundishia ilikuwa English, higher education kasomea in English, PhD kasomea Canada in English, documentation ZOTE alikofanyia kazi zipo kwa Kiingereza; still unadhani hakuna tatizo yeye kuongea English aliyoongea?
Hatumtarajii awe fluent kama mtu aliesomea linguistic as a profession; but to fail constructing a simple sentence in English??!! A PhD holder who studied in Canada in a program conducted in English??!! REALLY???
Haya; tumpime basi hata kwenye logic kwa kauli zake; are you satisfied with how she explains issues?

To me this smells forgery somewhere.
Hata mkuu wake kuna tetesi alifoji thesis, hawa watu wanasoma ili wapate cheti sio ujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu unachosahau kuzungumza nacho ni kipaji kama vipaji vingine, sio kila mtu anakipaji hicho.
Kuandika nako ni kipaji kama vipaji vingine.

Mfano Elon Musk hana kipaji kikuwa cha kuzungumza kama alivyo kuwa marehemu Steve Jobs ingawa wote kiingereza ni lugha yao ya kwanza.
Elon yeye ni PhD holder. Akiongea utamsikia anaweka zile Eenh .., Mmmh ... nyingi na kusita sita huku akitafuta maneno ya kuongea.
Steve yeye alikuwa ni high school graduate tu na college dropout lakini alikwa bora sana ktk kuongea.
Acha kutetea ujinga. Alafu toka lini elion musk amepata PhD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasoma canada miaka mitatu alafu hujui english? Tuache ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kusoma kwake Canada, ila exposure tu alio pata kama Waziri wa elimu wa Tz seminar za kimataifa wageni wakimataifa paper anazo present kwa niambia ya Tanzania kwa miaka zaidi ya 10 wakati ni katibu wa necta na Waziri wa elimu zinatosha mtu hasio kilaza ku improve fluency ya spoken yake, ila huyu mama hapana iq yake iko below average.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom