Aliandikiwaaaa, Tanzania kila kitu kinawezekana, kama tunaweza kubaini wanaotarajia kujinyonga tutashindwaje kuandika mavitabu kuwashawishi maprofessor?
Sent using Jamii Forums mobile app
YeahIz yu ze same same like le profesori ndaliwize?
Jf kila mtu mjuaji,,ukiwaambia waongee ndo tutaskia vituko zaidi hata ya hiyo ya professorWakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.
Hahaha vipi mbona unatetea?/au na chako ni chakuunga kuunga kama prof wetuJf kila mtu mjuaji,,ukiwaambia waongee ndo tutaskia vituko zaidi hata ya hiyo ya professor
Sanchez magoli
Bora changu kuliko cha mtu fulan alafu anajiita udsm alumn[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha vipi mbona unatetea?/au na chako ni chakuunga kuunga kama prof wetu
Hahahaha huku sikuwezi usije uka nichakaza bure.Bora changu kuliko cha mtu fulan alafu anajiita udsm alumn[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyosha mikono juu ni mwendo wa mateka tu,,,usinchezee huku utakula za usoHahahaha huku sikuwezi usije uka nichakaza bure.
Kwahiyo kwako wewe hata mtu ambaye anajua kuongea kiswahili vizuri tu ila hawezi kuandika wala kusoma utamuweka kundi la watu wasiojua kiswahili kwa sababu hajui kusoma kiswahili na kuandika hivyo hajui lugha husika?Usipoweza kuongea vizuri kiingereza kwa tafsiri nyepesi ni kwamba huijui lugha ya kiingereza. Sikubaliani na hoja ya kuwa kuna kiingereza cha kuongea na cha kuandika, kwamba kuna wanaoweza kuandika kiingereza kwenye machapisho yao halafu wakawa si wazuri kwenye kuongea. Iko hivi , kama unaijua vizuri lugha fulani ni lazima uweze kuiandika na kuiongea vizuri kwa ufasaha. Ukiweza kuiandika halafu ukashindwa kuiongea kiujumla tunahesabu kuwa huijui lugha husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.Jf kila mtu mjuaji,,ukiwaambia waongee ndo tutaskia vituko zaidi hata ya hiyo ya professor
Sanchez magoli
Kwani uprofesa ndo kiingereza basi Ulaya kuna maprofesa wengi.Lisa kujua kiingereza vichaa wa ulaya mbona hawajapewa uprofesa kisa kujua kiingereza.Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
Kwani uprofesa ndo kiingereza basi Ulaya kuna maprofesa wengi kisa kujua kiingereza,vichaa wa ulaya mbona hawajapewa uprofesa kisa kujua kiingereza.Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
Aaaaah weee sasa kasoma mathematics na english wap na wapiUsitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! Kimombo hichoHapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
- From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
- From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
Kiingereza si lugha yetu
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ingekuwa mbovu, hii kiingereza chake ni mbovu iliyopitiliza. Katuhaibisha wana Udsm.Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
Mkuu tatizo unaunganisha uproffessor na kiingereza ,uproffessor ni level ya juu ya ualimu wa chuo kikuu ,hii hutokana na kubobea kutoa machapisho ya moto moto ,unaweza kuwa hujui hata neno moja la kiingereza ukawa proffesor kwa maana kuw umechukulia uproffessor kwa kichina ,professor huyo akiongea kichina cha hovyo tutamshangaa sana na kumuundia uzi ,ulaya maproffessor wengi wasiojua kiingereza wanajua kiufasaha lugha waliyosomea mfano kifaransa ,sasa huyu kasoma mpaka phd kanada halafu anashindwa kiingereza cha form 2 .Nimejaribu kuongea kwa lugha ya dalasa la kwanza sidhani kama na hapa hutaelewa .Kwani uprofesa ndo kiingereza basi Ulaya kuna maprofesa wengi kisa kujua kiingereza,vichaa wa ulaya mbona hawajapewa uprofesa kisa kujua kiingereza.
Na kweli sijaelewa sababu umeongea kidarasa la kwanza.Mkuu tatizo unaunganisha uproffessor na kiingereza ,uproffessor ni level ya juu ya ualimu wa chuo kikuu ,hii hutokana na kubobea kutoa machapisho ya moto moto ,unaweza kuwa hujui hata neno moja la kiingereza ukawa proffesor kwa maana kuw umechukulia uproffessor kwa kichina ,professor huyo akiongea kichina cha hovyo tutamshangaa sana na kumuundia uzi ,ulaya maproffessor wengi wasiojua kiingereza wanajua kiufasaha lugha waliyosomea mfano kifaransa ,sasa huyu kasoma mpaka phd kanada halafu anashindwa kiingereza cha form 2 .Nimejaribu kuongea kwa lugha ya dalasa la kwanza sidhani kama na hapa hutaelewa .
Mkuu huko ni kupenda ligi tu ,chukua mantiki ,hakuna asiekosea ila tunahoji extreme ,hata prof wa eng language anakosea ila kuna level ya you stay inside tunaikataa,by the way nimeelewa type yako kuna mtu anaitwa Jofrey amekuwa loser maana hajikiti kujenga bali kushinda vi battle sio wallNa kweli sijaelewa sababu umeongea kidarasa la kwanza.
Kuw-Kuwa
Dalasa-Darasa
Sasa wewe si sawa na huyo professor mnautofauti gani.?