Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jf kila mtu mjuaji,,ukiwaambia waongee ndo tutaskia vituko zaidi hata ya hiyo ya professor

Sanchez magoli
 
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.

Usipoweza kuongea vizuri kiingereza kwa tafsiri nyepesi ni kwamba huijui lugha ya kiingereza. Sikubaliani na hoja ya kuwa kuna kiingereza cha kuongea na cha kuandika, kwamba kuna wanaoweza kuandika kiingereza kwenye machapisho yao halafu wakawa si wazuri kwenye kuongea. Iko hivi , kama unaijua vizuri lugha fulani ni lazima uweze kuiandika na kuiongea vizuri kwa ufasaha. Ukiweza kuiandika halafu ukashindwa kuiongea kiujumla tunahesabu kuwa huijui lugha husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu muha ni shida, lile yai hata kulichemsha alifai.... inamaana hata thesis yale aliitetea kwa lugha ipi ?

Canada kasoma miaka 4 inamaana walikua wanafundishwa kwa lugha ipi ?

Presentation alikua anatumia lugha gani hapo udsm...?

Kwenye CV sijaona alisoma Msc yake lini mpaka lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoweza kuongea vizuri kiingereza kwa tafsiri nyepesi ni kwamba huijui lugha ya kiingereza. Sikubaliani na hoja ya kuwa kuna kiingereza cha kuongea na cha kuandika, kwamba kuna wanaoweza kuandika kiingereza kwenye machapisho yao halafu wakawa si wazuri kwenye kuongea. Iko hivi , kama unaijua vizuri lugha fulani ni lazima uweze kuiandika na kuiongea vizuri kwa ufasaha. Ukiweza kuiandika halafu ukashindwa kuiongea kiujumla tunahesabu kuwa huijui lugha husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwako wewe hata mtu ambaye anajua kuongea kiswahili vizuri tu ila hawezi kuandika wala kusoma utamuweka kundi la watu wasiojua kiswahili kwa sababu hajui kusoma kiswahili na kuandika hivyo hajui lugha husika?
 
Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
Kwani uprofesa ndo kiingereza basi Ulaya kuna maprofesa wengi.Lisa kujua kiingereza vichaa wa ulaya mbona hawajapewa uprofesa kisa kujua kiingereza.
 
Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
Kwani uprofesa ndo kiingereza basi Ulaya kuna maprofesa wengi kisa kujua kiingereza,vichaa wa ulaya mbona hawajapewa uprofesa kisa kujua kiingereza.
 
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.

View attachment 1315270
KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA

‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’

CURRICULUM VITAE

Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]

Career[edit]
  • From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
  • From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]

Sent using Jamii Forums mobile app
teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! Kimombo hicho
Watanzania wengi kiingereza kinatugonga kwa nguvu tu; yaani ile grammar ya kiingereza pamoja na vocabulary vinatugonga sana. Lafudhi (accent) siyo tatizo kwani kila mtu ana lafudhi yake, ila grammar inatupitia mlongo wa uani. Ndiyo maana tunapenda tutambuliwe kama Dokta fulani au profesa fulani.
 
Usitetee ujinga asee haiwezekani Professor awe na English mbovu kiasi icho. Nasema tena haiwezekani. Labda kama huo uprofesa aliletewa nyumbani.
Bora ingekuwa mbovu, hii kiingereza chake ni mbovu iliyopitiliza. Katuhaibisha wana Udsm.
 
Kwani uprofesa ndo kiingereza basi Ulaya kuna maprofesa wengi kisa kujua kiingereza,vichaa wa ulaya mbona hawajapewa uprofesa kisa kujua kiingereza.
Mkuu tatizo unaunganisha uproffessor na kiingereza ,uproffessor ni level ya juu ya ualimu wa chuo kikuu ,hii hutokana na kubobea kutoa machapisho ya moto moto ,unaweza kuwa hujui hata neno moja la kiingereza ukawa proffesor kwa maana kuw umechukulia uproffessor kwa kichina ,professor huyo akiongea kichina cha hovyo tutamshangaa sana na kumuundia uzi ,ulaya maproffessor wengi wasiojua kiingereza wanajua kiufasaha lugha waliyosomea mfano kifaransa ,sasa huyu kasoma mpaka phd kanada halafu anashindwa kiingereza cha form 2 .Nimejaribu kuongea kwa lugha ya dalasa la kwanza sidhani kama na hapa hutaelewa .
 
Na kweli sijaelewa sababu umeongea kidarasa la kwanza.
Kuw-Kuwa
Dalasa-Darasa

Sasa wewe si sawa na huyo professor mnautofauti gani.?
 
Na kweli sijaelewa sababu umeongea kidarasa la kwanza.
Kuw-Kuwa
Dalasa-Darasa

Sasa wewe si sawa na huyo professor mnautofauti gani.?
Mkuu huko ni kupenda ligi tu ,chukua mantiki ,hakuna asiekosea ila tunahoji extreme ,hata prof wa eng language anakosea ila kuna level ya you stay inside tunaikataa,by the way nimeelewa type yako kuna mtu anaitwa Jofrey amekuwa loser maana hajikiti kujenga bali kushinda vi battle sio wall
 
Back
Top Bottom