Aliandikiwaaaa, Tanzania kila kitu kinawezekana, kama tunaweza kubaini wanaotarajia kujinyonga tutashindwaje kuandika mavitabu kuwashawishi maprofessor?
Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.
Usipoweza kuongea vizuri kiingereza kwa tafsiri nyepesi ni kwamba huijui lugha ya kiingereza. Sikubaliani na hoja ya kuwa kuna kiingereza cha kuongea na cha kuandika, kwamba kuna wanaoweza kuandika kiingereza kwenye machapisho yao halafu wakawa si wazuri kwenye kuongea. Iko hivi , kama unaijua vizuri lugha fulani ni lazima uweze kuiandika na kuiongea vizuri kwa ufasaha. Ukiweza kuiandika halafu ukashindwa kuiongea kiujumla tunahesabu kuwa huijui lugha husika.

Kwahiyo kwako wewe hata mtu ambaye anajua kuongea kiswahili vizuri tu ila hawezi kuandika wala kusoma utamuweka kundi la watu wasiojua kiswahili kwa sababu hajui kusoma kiswahili na kuandika hivyo hajui lugha husika?
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...
teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! teh!!!! Kimombo hicho
Watanzania wengi kiingereza kinatugonga kwa nguvu tu; yaani ile grammar ya kiingereza pamoja na vocabulary vinatugonga sana. Lafudhi (accent) siyo tatizo kwani kila mtu ana lafudhi yake, ila grammar inatupitia mlongo wa uani. Ndiyo maana tunapenda tutambuliwe kama Dokta fulani au profesa fulani.
Mkuu tatizo unaunganisha uproffessor na kiingereza ,uproffessor ni level ya juu ya ualimu wa chuo kikuu ,hii hutokana na kubobea kutoa machapisho ya moto moto ,unaweza kuwa hujui hata neno moja la kiingereza ukawa proffesor kwa maana kuw umechukulia uproffessor kwa kichina ,professor huyo akiongea kichina cha hovyo tutamshangaa sana na kumuundia uzi ,ulaya maproffessor wengi wasiojua kiingereza wanajua kiufasaha lugha waliyosomea mfano kifaransa ,sasa huyu kasoma mpaka phd kanada halafu anashindwa kiingereza cha form 2 .Nimejaribu kuongea kwa lugha ya dalasa la kwanza sidhani kama na hapa hutaelewa .

Mkuu huko ni kupenda ligi tu ,chukua mantiki ,hakuna asiekosea ila tunahoji extreme ,hata prof wa eng language anakosea ila kuna level ya you stay inside tunaikataa,by the way nimeelewa type yako kuna mtu anaitwa Jofrey amekuwa loser maana hajikiti kujenga bali kushinda vi battle sio wall
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.