Nyie mnaomponda mnakifahamu? Au mnazingua ili muonekane kny mitandao afadhali yeye ameongea jiru na wewe video yako tukuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeongea tuu Kiswahili kwani hata hicho kitu alichoongea Mchina hakuelewa alichozungumzaLengo kuu ni mawasiliano, sijui mlitaka azungumze kama mwingereza!
Mkuu, watu hawajahojj kuhusu Fluent English hapana bali wanashangaa kwa namna gani Prof wa Elimu ashindwe kuongea kiingeleza kinachoeleweka.Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah hiki chuo ni vituko vitupu, ndo matunda ya hake yametufikisha hapa miaka 50 watu wanalia ukosefu wa maji, vijijini barabara hazipitiki na watoto wetu wanalala gizani maana umeme uko mijini tu. Vyuo vya maana kama TEKU serikali iliviyumbisha kisa hawana maghorofa kama ya UDSM......naishia hapoHalafu wanaita UDSM the home of intellectual
la muhimu ujumbe umefikaTena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium
Kweli kabisa mkuu,wengi humu kiswahili sanifu kinatuzingua lakini hatuna time.Haki ya Ngai mkoloni alaaniwe milele.Kwa waTZ wengi hata kama unakijua ukiwa katika panic mood ni rahisi kutokukinyoosha..
Lakini pia sisi huwa tuko makini kukosoa makosa katika kiingereza ila makosa yetu katika kiswahili hatuna habari nayo.
Kiingereza cha darasani katika uandishi nk si sawa na kile wakati wa kukizungumza, darasani unatulia pia unatafuta maneno sahihi ya kutumia, ila wakati wa mazungumzo haiko hivyo kama si lugha uitumiayo kila mara katika mawasiliano misamiati inakuwa michache
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani nn kazi ya condomHivi nini kazi ya Helmet
Umepotea..
Jichanganye..usiwe mpweke mpweke