Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Mifumo ya ufundishaji kiingereza ni mibovu duniani kote si kwetu tu.
 
Hahaha hahaha uwiiii
 
Mkuu unajua phd inachukuliwaje .aliwezaje kuandika kitabu akashawish maprofesa nguli waone ,anafaa kupata phd kwa kiingereza cha utani .hata graduate wa degree hawezi kusema et find CERTIFICATE PEOPLE
 
Mifumo ya ufundishaji kiingereza ni mibovu duniani kote si kwetu tu.

Kujifunza lugha kwa urahisi ni kwanza kuizungumza hiyo lugha, sisi Watz, nyerere alituharibu, yeye alikuwa anajua kiingereza na hakutaka watz wengi tujue kiingereza kwa sababu Kiingereza kilibeba elimu nyingi hivyo tungeerevuka, kwani kumtawala mjinga ni rahisi kuliko mwerevu lakini kumuongoza mwerevu ni rahisi kuliko mjinga, alijua hilo.

Hayo ni maoni yangu, niko huru kusahihishwa.
 
Mkuu unajua phd inachukuliwaje .aliwezaje kuandika kitabu akashawish maprofesa nguli waone ,anafaa kupata phd kwa kiingereza cha utani .hata graduate wa degree hawezi kusema et find CERTIFICATE PEOPLE

Myself, my written English is fantastic but when it comes to spoken English it is horrible. 🀣🀣

A written English is subjected to corrections when it deems so but is not so for spoken English.
 
nyie wa st joseph mna mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na maprof. wengi wenye uwezo mzuri wa kumudu lugja walizosomea masomo yao. Wengine wamesomea Ujerumani, wanaongea Kiingereza safi, Kijerumani Kizuri na Kiswahili sanifu.

Kushindwa kumudu kitu ulichojifunza na kufundishwa kwa miaka mingi, ni uthibitisho kuwa you are not trainable. Being not trainable is one of the indicators of low IQ.
 
Mkuu unajua phd inachukuliwaje .aliwezaje kuandika kitabu akashawish maprofesa nguli waone ,anafaa kupata phd kwa kiingereza cha utani .hata graduate wa degree hawezi kusema et find CERTIFICATE PEOPLE
Aliandikiwaaaa, Tanzania kila kitu kinawezekana, kama tunaweza kubaini wanaotarajia kujinyonga tutashindwaje kuandika mavitabu kuwashawishi maprofessor?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…