REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Wewe ndio ujui ndio maana mama unamshangaa ungekuwa unajua usingemshangaa kisa mama hana Fluency basi mnamdandia ona ona acheni unafiki na kushadadia vitu msivyovijua sidhani mtaalamu wa lugha kama anaweza sema mama kazingua hata kama mama ni prof je ukiuulizwa kakosea nini utasema hana Fluency na ndio wengi mnachoangalia hapo nakumuona mama wa ajabu mama siyo native speaker mnataka aongee vipi sasa acheni ushamba wenuKama hujui hiyo lugha hata ukiambiwa hayo makosa itakusaidia nini? Makosa lukuki!
[emoji419]Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents
Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
Mkuu nimecheka mpaka nagalagala..... U made my night 🤣 🤣 🤣Kingreza kinaendana na cha bosiwake!! Bati wayi? Huyo jamaa agome kuwekwa ndani maagizo ya ametakiwa awekwe on sio in
Mimi nadhani prof. Hajakosea chochote then ameongea broken wapi?Ha ha ha hata hiki cha kuombea maji tu? Kama wewe ni mzee wa broken usipende kuchomekea chomekea maneno ya kiingereza. Sisi wote tunaongea broken ila tuwe makini kuropoka mbele za watu na media, tutachekesha walionuna!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapomalizia na hiyo emoji mwisho unamaanisha nini Mokaze?Ukiweka "and" hapo utakuwa unatafsiri ile "na" ya kiswahili kwenda kiingereza.
Unapoandika 150,000,000 in english, unaruhusiwa kuandika "and" kama hujui kiingereza.[emoji1787]
Waiweze kwanini? Ishu kubwa ya Lugha ni communication tu. Mambo ya ufluent ni kitu kingineAmuongelee nani? Hiyo lugha haiwezi ndio maana wanajifanya wazalendo wa kiswahili kumbe majanga matupu.
AsanteMimi pia sioni tatizo maan Yeye sio Prof wa English Language. Aongee fluent kwani yeye ni mwingereza? Tuache upuuzi kubezana mambo yasiyo na msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kutetea upimbi wewe!! Lugha uliyosomea na kuandikia mpaka ukapata uprof leo inakushindaje mwana zuoni na waziri wa elimu?!? Walimu waongee nini sasa?? Huwa wanasema shule za kata mtoto wa form four anashindwa kiinglishi cha latatu Leo tumeona profeza anashindwa kingleza cha lakwanza... You wiki steyi inisaidi ndonini?? Oni the seli?? The the zakutosha bwahahahhhaaaa.... ndomana hawataki kuifanyia mageuzi elimu yetu!!Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kukukashifu lakini haina sababu..
Unapomalizia na hiyo emoji mwisho unamaanisha nini Mokaze?
Kwamba nisichukulie serious ulichoandika au vipi?
Mbona bongozozo kiswahili kimenyookaHivi mzungu akiongea kiswahili broken naye huwa anachekwa?
Bongo kikubwa vyeti.
English language imekuja na meli.
Congole professor wangu kama mlikimbia umande shauri yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kutetea upimbi wewe!! Lugha uliyosomea na kuandikia mpaka ukapata uprof leo inakushindaje mwana zuoni na waziri wa elimu?!? Walimu waongee nini sasa?? Huwa wanasema shule za kata mtoto wa form four anashindwa kiinglishi cha latatu Leo tumeona profeza anashindwa kingleza cha lakwanza... You wiki steyi inisaidi ndonini?? Oni the seli?? The the zakutosha bwahahahhhaaaa.... ndomana hawataki kuifanyia mageuzi elimu yetu!!
Halafu tukikomalia boom anatusweka ndani, mie naomba asijeamuru Wana jf tushitakiwe kwa utakatishaji fedhaHivi mwanaye "Dajos" naye si amesoma Canada!? Mbona anakiingereza kizuri kuliko mama?
Sipo hapa kutetea bali naeleza nachokijua,mtu ana Phd halafu et uje kutilia mashaka phd yake kisa hamudu kuzungumza vizuri kiingereza! Hii ni kwa sababu mnashindwa kuelewa kwanini wanashindwa kuongea vizuri kiingereza ndio matokeo yake mnaenda kuhusisha na Phd zao.Hapa sio umetetea bali umeongeza kichekesho.
Mimi pia sioni tatizo maan Yeye sio Prof wa English Language. Aongee fluent kwani yeye ni mwingereza? Tuache upuuzi kubezana mambo yasiyo na msingi
Sent using Jamii Forums mobile app