Hivi Hili ni mimi naliona kuhusu Dar au na wengne pia mnaona hivyo?

Umewaona wapi mlimani city njoo huku buza mkunduni kwa mpalange ujionee kina masha love manyonyo walivyo takataka
 
Ngoja akija fataki atatusaidiq kujua vyema.
 
Sema unapenda Tutako twao, Dar joto wanavaa Sana madela bila chupi,vitako vinaonekana...na dar hali yake inatakatisha pia
 
Karibu dar kaka
 
we dogo rudi kijijini tunakutafuta huku vilimo vimeanza.sio kilimo kimeanza unaranda randa mijini kutwa nzima unaangaika na matako ya wanawake.Narudia tena kilimo kimeanza
Nimejitahidi sana kujizuia nisicheke, lakini nimeshindwa. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
P

Ile. Abandoned mm wa hapa hapa ila kila nikienda kwa new area or office huwa nabaki kushangaaa nikudokeze mikia hua unaiona ndugu ?? Jaman msimbeze mtoa mada
Kila kitu naona hata awe black namna gani bado huo weusi ni kama kapigwa polishi.. Wanang'aa
 
P

Ile. Abandoned mm wa hapa hapa ila kila nikienda kwa new area or office huwa nabaki kushangaaa nikudokeze mikia hua unaiona ndugu ?? Jaman msimbeze mtoa mada
Kila kitu naona hata awe black namna gani bado huo weusi ni kama kapigwa polishi.. Wanang'
 
Ukitoka Mkoani lazima uone ivo Mkuu.
Ni hali ya kawaida apa nmetoka Nachingwea juzi apa hata muuza Matunda na Beseni namuona ni mali.
 
utawazoea tu kaka.lkn wapo wengine kama wa kijijin kwenu.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…