Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Ficha Vizuri hela za Ng'ombe uliowauza huko Mwanza utapigwa masaji mifukoni ukija stuka uko pumbu na ngai.
🤣🤣Wasukuma bwanaa🤣🤣🤣,wew ni fursa.
Amekutana matapeli suguUmeingia lini mjini Kaka?
Karibu Daslam
Nyie ndio wale watu mnao tungia watu stori za uwongo na kuapa ni Kweli.. Ckai Kwa shemeji tembea mbele Huko.. Mtu Naenda hadi nje nchi N kurudi ndio nikae kwa shemeji.. Una shida kum kichwaMleta mada vipimo vinaonyesha unakaa kwa Shemeji Tena bado Anajitafuta huwa akiondoka hapo home hakuachii mia mbovu sasa kutokana na kwamba toka uje Dar inaonekana ujapaona hivyo Nyeg zinakusumbua zinasababisha kila mwanamke kwako ni Mrembo yaani una katabia kile kama vile umetoka jela au Machimboni ningekuwA na namba za shemeji ako ningempigia awe makini na watoto wa majirani na mabekitatu .
😀Kuwa makini Tu kuna wale ambao huchangia mafuta na dada zao
😀 😀Kuna kipindi nilikuwa kama wewe Kila Demu nilikuwa namuona nzuri upwiru mbaya Sana, nilipita na kazi mbovu Sana baadae ndio nastuka kuwa kazi mbovu, nikawa nakutana nao mtaani najiuliza hivi huyu nilipigaje kweli huyu kwahyo nyeg** tu hizo