Vipi Madagascar, Burundi na Kenya?Nchi ulizozitaja (kama Sudan, Somalia, na Chad) tatizo lao kubwa siyo ukosefu wa chakula bali ni kukosekana kwa amani.
Hata Tanzania itoe ardhi na kulima tani milioni, chakula hakiwezi kuwafikia walengwa kama kuna vita au barabara hazipitiki, bila utulivu wa kisiasa hata tukilima bara zima, njaa haitaisha.
Kuliko kuuzia wazungu rasilimali ni bora zitumike kusaidia waafrikaAkili zitatukaa sawa tutamaliza kuuza na kugawa rasilimali zote na kubaki na majangwa (barren land)
Tatizo ni food Logistics & political will.Vipi Madagascar, Burundi na Kenya?
More than two million people face hunger as drought grips Kenya | Climate News | Al Jazeera Photos: More than two million people face hunger as drought grips Kenya
NaamHapa hapa Tanzania kuna kaya zina njaa na kame. Tuanze kutatua matatizo yetu kwanza ndio tuhamie kwa majirani..!!
Siongelei kaya mojamojaHapa hapa Tanzania kuna kaya zina njaa na kame. Tuanze kutatua matatizo yetu kwanza ndio tuhamie kwa majirani..!!
Sasa utatatua vipi njaa ya watu million mbili wakati watu wako wachache umeshindwa kuwapa chakula?Siongelei kaya mojamoja
Naongelea njaa ya collective group of people "Kama watu milioni 2 kuface njaa kwa wakati mmoja katika eneo moja"
Umena vema sana.Sasa utatatua vipi njaa ya watu million mbili wakati watu wako wachache umeshindwa kuwapa chakula?
Halafu hapa nchini idadi ni kubwa sema tu veggies hawako serious na maisha ya wananchi wanawaza kupiga propaganda..!!
Hizo sehemu ulizozitaja zote zina ukosefu wa amani, sasa muda wa kulima watautoa wapi?
Blaza, kwanini tupeleke maji ya kuoga kwa yakobo wakati kwa bakari kunawaka moto?? Tungetumia kuvu na rasilimali kumsaidia bakari kuzima moto kwanza then tukae pamoja tuanze kutatua matatizo yanayo wakali.Kenya, Madagascar, Burundi????
Zina ukosefu wa amani??
Sio sehemu zote katika hizo nchi kuna njaa, hao wanasumbuliwa na ukame wa baadhi ya maeneo kama Tanzania.Kenya, Madagascar, Burundi????
Zina ukosefu wa amani??
Huyo kuna kitu haelewi, mfano Zambia mahindi kwao yanakubali lakini kuna kipindi mvua zikiwa chache yanagoma Tanzania tunawauzia. Hivyo hivyo kuna kipindi mvua zilisumbua Tanzania tukawa tunanunua mahindi Zambia pamoja na wakenya…!!Umena vema sana.