Hivi hili tatizo la njaa Afrika hatuwezi kulimaliza sisi wenyewe?

Keeli kabisa, tena kama kenya wametuzidi purchasing power, shng 1 yao kwetu ni 20, yaan elf moja ya kenya ni 20k bongo. Wanashindwaje kulisha watu watu kwa kuja kununua mazao huku.?
 
Urusi vs Ukraine vita mwaka wa 4 huu ila umewai kusikia kuna njaa
 
Maeneo gani Tanzania ulisikia watu milioni 2 wanaface njaa kwa wakati mmoja?
 
Uzuri wa mwanamke, matako makubwa ni madhara kwa mwili wake kama hana akili..

Kuwa na rasilimali nyingi, ni hatari kwa taifa haswa kwa viongozi wasio na akili na uzalendo..

Viongozi wetu hawana vision kwa ajili ya kuendeleza taifa, missio yao ni kuibia taifa.
 
Kabisa mwajina
 
Deep sana hii 👏
 
Aisee, mbona unatype kama nimekukasirisha 🤦
Unikasirishe? Kivipi?
Hunijui sikujui unikasirishe kwa uzito wa ubongo wako jinsi usivyojua kuchambua mambo? Mi nakuonea huruma..!!
 
Unikasirishe? Kivipi?
Hunijui sikujui unikasirishe kwa uzito wa ubongo wako jinsi usivyojua kuchambua mambo? Mi nakuonea huruma..!!
Umetoka kusema hunijui sikujui, halafu unasema unanionea huruma 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…