Hivi hizi ajira za TRA wanaruhusu kuomba nafasi zaidi ya moja?

Hivi hizi ajira za TRA wanaruhusu kuomba nafasi zaidi ya moja?

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Habari zenu wana jukwaa?

Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc.
Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja?

Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za serikali,mwaka huu ndio nataka nijaribu bahati yangu.

Na kingine nilitaka kujua na wao wana vigezo vya kuangalia GPA kama BOT?nisije nikapoteza muda wangu tu.
 
Ajira za serikalini ni kujuana na kubebana.
B O T waligoma kunishortlist kwa sababu birthday certificate "Haisomeki" wakati ipo clear kabisa na iko certified. Hii inaonyesha walimuandaa mtu wao kabla
 
Back
Top Bottom