Una mashaka na GPA yako?Na kingine nilitaka kujua na wao wana vigezo vya kuangalia GPA kama BOT?nisije nikapoteza muda wangu tu.
Na wewe unajifanya una akili mbele za watu eti.Acha tamaa
Iyo calculations ni kwa kada zote au?Omba yoyote kikubwa jiandae na calculations na interview
kumbe wako tofauti na utumishi,utumishi zote utaitwa kikubwa una vigezoHata ukiomba zote,ila wao watakupangia kufanya moja tu.
Inategemea na ulichoomba lakini mostly vi calculations havikosekani TRA tena kila kitu hela lzm hesabu ihusikeIyo calculations ni kwa kada zote au?