Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Jibu hili swali, kwanini unapovuna mahidi huvuni na mabua??????? Usitumie akili nying... angalizo
 
Rudini kwa mababu zenu, walikuwa hawana hayo mauza uza. Na waliishi vizuri bila shida! Dini dini, mnaporwa!!!
 
Katika noti za elfu kumi uwezekano wa kupata noti feki ni mkubwa sana lakini kwa shilingi hamsini au mia siyo rahisi kukuta feki,pia kwenye vitu vya dhamani kama almasi na dhahabu vivyo hivyo kukuta feki ni rahisi lakini huwezi kuta jiwe tuu la kawaida likawa feki.Ndivyo ilivyo kwa ukristo dhidi ya imani nyingine.Mimi nitashika hii ya thamani hata kama kuna feki nyingi.
 
We kweli kiande uwezo wa kusoma jambo na kulifikiri ni mdogo ndio maana ni mkiristo maana nyie huwa mmaamin bila kuhoji...sijazungumza habari za yesu kwenye bible ya kiarabu we umejibu sio umeyatolea wapi..wewe swali lako lilikuwa kuhusu Allah ukamnabisha na vitu ambavyo nishakutana na watu mama wewe wanasema Allah ni mkuu wa majini nimekujibu kutoka kwenye biblia hata yesu alitumia jina Allah kwa kiibrania wanaita Ellah yesu hakuwa anaongoea kingereza hakuwahi kutumia neno God...na pia kuhusu Yesu hilo sio jina lake ndio kitu nilichokuambia hajawahi kulisikia kwenye maisha yake...nimekupa na mfano ambao mwenye uwezo wa kidogo wa kuhojina kufanya tafiti atanielewa jina JESUS ni jina la kulatin na liliamza kutumika kwenye bible ya kilatin miaka 300 baada ya Yesu kuondoka jina lake halisi mama yake alimuita aliitwa Iso na jina lake lingine lilikuwa Yoshua sio jesus wala Yesu ni kitu kipo wazi hakihitaji hata kubishana..shida ya ukrist bible ya kwanza kabisa kukubalika kutumika ilipatiakana miaka 300 baada ya yesu kuondoka imepitia mikono mingi sana watu we twist maandiko walivyotaka ili yaendane na wanayo yataka wamehamisha dini kutoka kwa wahayahud had ikawa ya wazungu...na hapo ndio walipoanza na kubadili majina ya mitume yafanane na ya kwao kutoka kwenye majina yao halisi.!...rejea post yangu uliyo reply nimekupa na mifano ya majina halisi yaliyobadilishwa.!
 
Kuna mwingine kaibuka anaitwa Mwamposa huyu jamaa anatisha kweli kweli vile anajua kucheza na mazingaombwe asee wamama karibu dar yote kawateka
 
Mdau hayo mapicha picha yako.... wanatumia oxygen hao au hewa gani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa kuamimi.... lakini unadhani kuna kitu anapoteza mtu mwengine hasipoamini kwenye hiyo super natural power???. Imani yako inakuambia nini kuhusu wasioamini hivyo?... je, wanafanya makosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu walikuwa wanapata hahahah..... walikuwa hawapati kila kitu mwisho wa siku walikuwa wanafikia conclusion kwamba mizimu imegoma kwasababu labda kazaliwa mtoto mlemavu, mwenye albinism.... (hiyo mizimu nayo ilikuwa ignorant kama wahusika wenyewe). Yaani mawazo ya wahusika ni mawazo hayo hayo ya mizimu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilichokutuma na kuamini kuwa hawa ni wakristo nini kwenye picha hizi?
 
hawa ni freemason wala sio wakristu hakuna nguo kama hizo na kofia hizo muwe makini
 
Hawa kwenye picha ni nani?? Njiwa au??
 
Nadhani angekuwa karibu ungemzaba zabua vibao . Hasira ni alichokisema au ni NIDA ..........


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma mkuu
 
Acha uongo ndugu, Kuna vitu vya kujisifia. Hivi nyie vijana wa muhammad mnataka kukuniambia kuwa nyie kwenu(Kwenye uislam) hakuna mivutano?? Ukiachana na hayo dini yenu pia ina mashaka sana, dini inajitapa ni yamani lakini kujitoa mhanga na kuua wasio na hatia na kujilipua ovyo ovyo ndio imekuwa fashion


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…