Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unihakikishie kwa maneno....?? Ningeona hapa unaniletea quotation zake hapaOkay early writings, great controversy, testimonies for the church na more ni vya white navyo nimesoma nikuhakikishie tu
Kuwa na adabu wewe....Hawaitwi Early Fathers ila Church Fathers....history books kwenye vitabu kama vya early fathers waanzilishi wa ukristo
So what!!! Angalau pangua hayo niliyoandika kwa kuleta quotes za hizo vitabuNinapo kwambia nimesoma historia ya kanisa LA SDA na hayo yote ulioyaita cult namaanisha hakuna utachoniambia kipya kwangu kaka labda kama umefunuliwa wewe tu ila kama kimeandikwa basi jua nakifahamu
Hivyo Docrtine=Teachings...????Yani MTU asiye fahamu neno doctrine jukwaa lake inabidi liwe LA entertainment kaka
Doctrine ni simply mafundisho
Saa yaja ambapo waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli. We don't believe in religions or dominions we believe in worshiping the Living God. Dini yako si kitu mpendwa. Bali wokovu ndo kila kitu. Wokovu ni njia ya Mungu kumtafta mwanadamu na hii ilifanyika kwa njia ya kufa kwa Yesu na Mungu akikutafta kwa vyovyote atakupata hata uwe wapi na dini gani.Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY![]()
![]()
Hahahaaaaaaa umenivunja mbavu ndg yangu Otorong'ong'oPeleka ushenzi huko kwenye makambi..
Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??
Hebu wacha ushenzi wewe...
Jidanganye tu. Baada ya kifo, hukumu.kwa kuanza tu,dini ni upuuzi
kwahyo huyu ndio yesu au actorDini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY![]()
![]()
Unakosea mjenge Imani mwanao kama uliyojengewa na wazazi wako unaweza kumpa mwanga kidogoKwa kweli hatujuwi tunapokwenda na hizi Imani, hata watoto wangu wasipoenda Kanisani wala siwaki kama zamani, maana wanapoona vituko vya hao manabii, hasa yule aliyezaa na binti wa shule (twice)! Kutengwa kwa wakatoliki na hata kukataliwa kuzikwa kiimani, kisa jumuiya na dhihaka kama hizi za kubeba masilaha ya kivita huwa nakosa majibu, kwa kweli Wakristo tunapitia wakati mgumu sana na Imani zetu..
Basi hao walikuwa wanacheza moviWeka uthibitisho kuwa hao wanafanya ibda ya kikristo.
Kwanza Yesu alipewa bible au injili???Jaribu kusoma na kuelewa.
Nimesema moja ya sababu ya mkanganyiko wa Christian doctrines ni kupotea kw a maana through translations
Leo kuna baadhi ya mistari ukisoma kwa kiswahili unaingia chaka completely maana haieleweki.unapotafsiri lugha moja kwenda nyingine tens lugha zisizo endana kabisa kama kiebrania kwenda kiswahili ,au Aramaic (,kitabu cha Daniel) kwenda kiswahili ,au kilatin kwenda kiswahili lazima upoteze maana
Ndomana nikasema njia wanayotumia waislamu katika kuitunza Qur'an ni nzuri maana wa. Hifadhi maana halisi iliyokusudiwa kwa kujifunza katika lugha ya asili
Unapojifunza kitu in its original language you can easily get the intended meaning .
Usiponielewa basi tena.
Ipi mkuu?? au dini ya mizimuUko sawa kabisa hii ndo dini pekee inayofundisha ukweli