Nimeuliza ni SDA gani hiyo huyo kenge anainadi zaidi za hiyo niliyotolea sifa zake za msingi..??
Nimewahi kuandika humu dini zinafunga sana akili watu kiasi kwamba they become irrational
Reason ni kwamba MTU yupo tayari kuandika uongo juu ya dini nyingine ili aitetee dini yake
Na huo ndo ukweli dini zimeharibu sana akili za watu
MTU pekee anaeweza elewa dini zote na kuzi compare inabidi awe neutral na watu hao wanakosekana sana
Mkuu unayoongea yote ni ya uongo na yanabebwa na frustration za chuki believe me
Nimezaliwa katika ulutheri na nikajifunza ulutheri kwelikweli nikakua katika shule ya kisabato nikajifunza sana usabato kupitia kwa wasabato na sources za nje ya usabato
Hii ilinifanya nisome kuhusu ukatoliki ,Mormonism, Jehovah witnesses
Pia nikaanza kujifunza uislamu
Ni karudi kwenye historia
Katika haya yote nikajifunza mengi sana ,na kuu dini nyingi au dhehebu nyingi zinalishwa uongo kuhusu wengine ili kulinda maslahi ya dini/dhehebu jingine
Katika dhehebu ambalo lina kasoro nyingi aisee Rc is up there any person with a free logical mind hawezi dumu two years in that church .
Pia kwa Mormons nimejifunza mengi but never was I convinced
SDA wana mafunzo mazuri sana kwenye healthy and nutrition also in bible but nimesoma sana historia and its doctrines napo I ain't convinced
But nikajakugundua most Christians hawajui wanacho amini hawasomi maandiko au asili ya imani yao so they are so blind and ignorant on their faith cha muhimu kuwahasa Christians try kuwa wasomaji wazuri wamaandiko na sio wakakaririshwaji tu wa bible verses
Jaribu ata kutengeneza your bible reading plan ili ufanye coverage ya whole bible itawasaidia sana
Hawa manabii fake wana benefit sana kwenye ujinga ndomana wanapata followers wengi sana in a short time
This ain't personal just an advice to you and others of your kind