Mamaa Africa
Member
- Mar 1, 2018
- 59
- 278
Mungu yupo, Usiangalie walioshindwa angalia waliokatika ukristo na wapo wamesimama miguu miwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli pia mleta mada anatumiwa na shetani ila mwenyewe hajijui tuUkiristo ni njia yente mafundisho ya mungu wa ukweli. Na mafundisho hayo yako kwenye kitabu takatifu yaani biblia. Unapokwenda kanisani hufuati matendo ya mtu bali kusali na kujifunza mafundisho ya mungu. Usifuate matendo ya kiovu yanayofanywa na baadhi ga viongozi wa dini. Wengine wanatumiwa na shetani ili kuupaka matope ukristo. Shatani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya mungu.
shetani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya Mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya Mungu.Ukiristo ni njia yente mafundisho ya mungu wa ukweli. Na mafundisho hayo yako kwenye kitabu takatifu yaani biblia. Unapokwenda kanisani hufuati matendo ya mtu bali kusali na kujifunza mafundisho ya mungu. Usifuate matendo ya kiovu yanayofanywa na baadhi ga viongozi wa dini. Wengine wanatumiwa na shetani ili kuupaka matope ukristo. Shatani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya mungu.
kabisa kabisa, tatizo letu binadamu, hasa Watz, tunatumia imani zetu, dhehebu zetu na ibada zetu kunyanyasana, kuiba, chuma ulete na mifarakano isiyo na mwanzo wala mwisho..tuna imani, dini, na madhehebu. kipi tunatafuta binadamu??? upendo pekee ndio msingi mengine yote ni Maua tu juu ya kaburi. hayamfufui marehemu.
Unabii ni lazima utimie, ni sehemu gani kwenye Quran iliyotabiri ya kuwa kutaondokea manabii wa uongo na yanatimia??
shetani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya Mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya Mungu.
[emoji115] [emoji115] [emoji115]
True 100%
Mkuu nakuelewa mno ....kwa kuanza tu,dini ni upuuzi
Wanataka sadaka za kondoo hahhahahahahhhahaahMi naamini kuna supernatural power ambayo imepelekea kuwemo kwa dunia hii na kuwepo kwa viumbe hai akiwemo binadamu. Najua kuna source ya yote haya na ndio ninayoiamini
Ni mseminary mzuri tu mimi ila muda mwingi huwa nawaza nje ya boxvna kuona kuwa hizi dini zinatudanganya tu na kutunyonya. Ni propanganda zisizo na maana.
tuna imani, dini, na madhehebu. kipi tunatafuta binadamu??? upendo pekee ndio msingi mengine yote ni Maua tu juu ya kaburi. hayamfufui marehemu.
Mashahidi wa Yehova wanywao ponbe ndo dini ya kweli huku wakimshusha Yesu ukuu wake kwa kusema Yesu ni mzaliwa wa kwanza, wala hana mamlaka ya ki-Mungu?Zaidi ya Mashahidi ya Yehova, dini zingine ni upuuzi tu.
Unamsubiri masia ea kwanza au wa pili??Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY![]()
![]()
Ya ukweli ni ipi??mimi najua dini moja tu ya kweli zingine zote ni za uongo zinajojiita za kikristo + za kisalamu.
zote kwa pamoja zinaitwa babilon mkubwa zote zitapata pigo moja hivi karibun