Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapoishia kujilinda wewe ndo MUNGU anapoanziaNi maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Hivi majambia yanahifadhiwa wapi vile!! .......... alimwoa mke wa mwanae.Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Sema hufahamu tu.. Waislam nao wanamakando kando yao huko mpaka wanauana..! Shia na Sunni..! Au haujawahi kusikia..?!Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Tena utasikua "sisi watu wa mungu, mpendwa nk." nani mtu wa shetani? Nani siyo mpendwa. Kufarakana huku ndiko ambako hata waislamu huwaona wakristo wamekosa mwelekeo kiimani. Nachukia tabia hii hadi basi. Matokeo yake wanaibuka hadi akina Tito. Nadhani dini pekee na iliyosahihi ni kutii amri 10 za mungu tu. Mengine ni biashara.Tatizo lenu moja tu..
Mmejitwika utakatifu sana na kuona wakristu wengine haswa wakatholiki kuwa wameshaandikiwa hukumu ya kwenda motoni na ninyi watakatifu wote mbinguni..
Hili limewafanya muwafundishe wafuasi wenu chuki sana yaani msabato adui yake wa kwanza ni mkatholiki kuliko hata shetani mwenyewe
Wakristu wengi tumesahau kuhubiri injili kwa watu wasioijua kabisa badala yake imekuwa ni mchezo wa kugombania waumini wa madhehebu mengine achilia mbali hayo makanisa yanayoibuka kama uyoga na kujiita ya kinabii ...Mungu anawaona asee
Uislamu wenyewe una madhehebu hivyo haupo straight ndo maana una madhehebu ..hao washiha na wasuni sijui walitengana kwa lipi... nimeliongelea though its non of my business
Cha msingi amini unachoamini na ukiishi kama ikupasavyo ....
Sisi tulio,kombolewa kwa damu ya Yesu hatuangaiki na dini za wanadamu,Yesu pekee ndio njia ya kweli na UZIMA,Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Haya tuelezee na uislam pia. Allah ana uhusiano gani na Allat, almanat na al-uzzaHakuna din inaitwa ukristo ilikuja miaka 300 baada ya Yesu kuondoka ulimweguni, hata jina Jesus ni jina la kilatin yeye hajawahi kulisikia kwenye maisha hata huo ukristo hajawahi kuusikia wala kuutamka kwa sababu yeye alikiwa anaitwa messiah ambapo ikitafsiriwa kigiriki cristos na kwa kingereza crist kwa kiswahili mpakwa mafuta...so neno wakrist lilitoka kwa wayahud kama kuwakebehi watu walikuwa wanamfata yesu (kwa jina la sasa) jina lake halisi aliitwa Yeshua au Isso kwa kiibrania hajawahi kulisikia jina Jesus na wala sio jina la kiibrania fatilia utajua jina hili linatoka wapi pili hajawahi kusikia dini inatwa ukristo na tatu hajawahi kusikia wala kutamka kitu kinaitwa biblia...neno biblia limetokana na neno la kigirikia bublus maana yake kitabu ndio maana hata neno biblia halipo ndani ya biblia...ki ujumla ukristo ni man made religion yesu hakuwa kufundisha wala kutamka neno ukiristo...waliota idea ya ukiristo ni wagirik na warumi kuingiza iman zao kwa kivuli cha ukiristo kasomen story za miungu ya kirumi Tamuz na wengineo.!..kanisa catolich lipo miaka 300 kabla hata ya yesu
😀 😀 kaaaazi kweli kweli..... Naona unashindwa kujibu ulichoulizwa.Brother We Umekremishwa Uko Madrasa. Mungu Hataki Dini yako, anataka moyo wako, Acha Izo akili za kujipendelea, Mungu Hakuleta Dini. Ishi vizuri na watu Usijione wewe Bora kuliko wenzio MUNGU hakuleta Dini. Izo ni Njia tu za kumkaribia Basi,
MUNGU NI MUWEZA WA KILA KITU ANGETAKA WATU WOTE WAABUDU DINI MOJA ASINGESHINDWA, ila amekupa Uhuru wewe na mwenendo wako. Chunga Imani Yako Brother Mungu Hataki kanzu zako anataka Moyo na matendo yako.
Nawapenda sana nyie watu mnao aminishwa vitu bila kufanya utafiti na ndio vitu vina iangamiza africa sababu hatutafiti...ALLAH ni jina Mungu ila kuna mtu akiandika kitabu chenye story hizo ambacho mnafundishwa sunday achool au makanisani naijua story yote yule jamaa alivyoi twist sababu anajua huwa mnawaamin sana bila kufanya tafati na lengo muendee kupotea nakupa elimu.!Haya tuelezee na uislam pia. Allah ana uhusiano gani na Allat, almanat na al-uzza
Waraqa Bin naufal aliyemwambia Muhammad atakua mtume baada ya kukutana na kiumbe kule jabal hiraa ni nani
Mtume alimuoa bi Aisha akiwa na umri gani
Quran iliandikwa na nani