Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Dini inatumiwa na wahusika kujitajirisha, sisi ni ng'ombe, wanywa maziwa ndio wale walioleta dini, wanatunyonya mpaka hatujielewi, tuamke, hakuna cha ukristo wala uislamu, madini yote haya ni kwa ajili muwapelekee mapeni tu, kuanzia hijja za Mecca mpaka Jerusalem, tena mmesikia, Wayahudi wanataka kodi zao kwenye hizo site mnazoenda kuhiji, makanisa yaja juu!
Pesa ndio dini ya waliowaletea hizo imani, wanajuwa mtanunua biblia, wanajuwa mtanunuwa koran, wanajuwa mtaenda hiji wanajuwa imani hizo ndizo zitakazowasambaratisha waafrika msielewane, ili waendelee kuwanyonya kisawasawa...
 
you're talking nonsense brother
unajua nini maana ya Religion?
naona unauliza swali badala ya kujibu swali
halafu usianze matsi kama unataka nikutoe kwenye shimo la upuuzi unaouita dini
ukiwa mpole nitakupa nondo za maana
sasa jibu swali nililokuuliza
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
Sema hizo zinanitisha.sikui hiyo sipati jib
 
Ukiacha wasabato Wakristu wanaabudu siku ya jumapili (Sunday ) siku ya kuabudu jua zama za kale. Mfalme Constantine alipokea ukristu kibiashara, jumlisha akili yako uchanganye na ulichoambiwa na wamisionari. Huenda kuna baraza la siri lililoandaa ukristu kwani Mungu hana mtoto, hata kama ana mtoto asingemtoa sadaka kama binadamu wa leo wanavyofanya ili wafanikiwe
Hujalazimishwa kuamini kua yesu mwana wa Mungu,pili pia hata sisi Mungu tunamwita baba.ina maana katuzaa? Ila katuumba yeye,hivyosisi ni watoto wake.na Mungu hakumzaa yesu isipokua kamteua na kumvalisha taji awe kiongozi wetu.acha ushabiki wa kimburula
 
Hapo umeona mswahili au mwafrica haowamekengeuka ....sio sahihi kulinganisha imani za watu...hata waislam tunaona huwa hamuuoni mwezi kwa pamoja ..mna vitu mnavopingana /ILA NIKUSAIDIE BDUGU YANGU
MWISHO WA YOTE WOTE TUNAMWABUDU MUNGU MMOJA HUKU ANAITWA YESU/EMANUEL....KULE ANAITWA MTUME SAWS ISSA BIN MARIAM... ambaye wakristo ndio yesu aliyezaliwa na MARIA KWA ROHO MTAKATIFU..
Tenda mema fuata amri kumi na wote tuitafute MBINGU.
We kido umeongea point kubwa ndungu
 
Jibu langu ni Hilo
86e7b1e1f819fc12c562ca68eba409cb.jpg
Nimecheka sana nilipoisoma hii, kuanza leo ninaivua minyororo waliyoniridhisha wazazi wangu na nikaikubali bila kujiuliza, iwapo hao wazungu wenyewe waliotuletea hizi dini wameamua kuachana nazo, vipi sisi tulioletewa na kulazimishwa kuziamini kwa nguvu, ndiyo tunaojifanya washika dini zaidi yao?.
 
Dini ni mfumo wa maisha ya kila siku ambayo itamfanya mwanaadamu afanye matendo yote mema na kuwacha matendo yote mabaya

Wachana na hao akina nabii tito wewr jikite katika kufanya matendo mema tu na kuacha yooote mabaya hio ndo dini sahihi mkuu

Unaweza kuwa mkristo na usifanye matendo madhuri na vile vile unaweza kua muislamu na usifanye matendo mazur

But ukiwa unafanya matendo mazur bas hio ni zaid ya dini
Barikiwa sana ndugu.tupo sawa kiimani
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kakwambia nani,wapi mungu alisema wamtafute kwa kutumia dini?
We kishombi acha kupanic,mwenzio anakuuliza vizuri unaongea ovyo.ok kama una mwamini Mungu vizuri ila kumbuka imani bila matendo imekufa! Kama matendo yako yanaendana na imani basi barikiwa.ila kama mpuuzi basi ngojea adhabu yako
 
Inasemekana Yesu hakja kwa habari ya dini Bali kukomboa waliopotea(wasioijua kweli ya Mungu)! Cha msingi mm naona ni kuamini Mungu yupo na siyo kuziamini dini!!!
 
Dooh! hilo dhehebu la jeshi nini?
 
Na siku mkisema Tanzania itafuata dini yake ya kuabudu mizimu na jua sikiliza mziki wake, kilichowatokea kina Saadam, Qaddafi, Lumumba na kina Sankara cha mtoto!
Zitapaki meli kubwa kwenye bandari zenu hamjawahi kuziona..
 
Back
Top Bottom