Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Kwani umelazimishwa kuzifuata?
 
Mungu wetu si ni Mungu huyu huyu.
Huyu Mungu huyu huyu, tuchukulie wa waislam, wa wakiristo, wa wayahudi, wa hindu, bohora n.k hakusema kuwa Chadema ni dini yake lakini. Vitabu vyote takatifu vya dini zote havikutaja Chadema.... itakuwa Mungu wenu mwengine...
 
Ukiacha wasabato Wakristu wanaabudu siku ya jumapili (Sunday ) siku ya kuabudu jua zama za kale. Mfalme Constantine alipokea ukristu kibiashara, jumlisha akili yako uchanganye na ulichoambiwa na wamisionari. Huenda kuna baraza la siri lililoandaa ukristu kwani Mungu hana mtoto, hata kama ana mtoto asingemtoa sadaka kama binadamu wa leo wanavyofanya ili wafanikiwe
 
We Jamaa Vipi, kwani Dini ya Mababu zako Ilitajwa na Mungu.
Na mlikua Mnaabudu Mizimu.
Tena enzi hizo kila unachokiomba unpata kwa mizimu yenu
Skuizi mnajifanya watakatifu Pumbavu Shida, Njaa, ukame, Uzinzi kibao. Mungu ni Mungu wa Wote tu Cha Muhimu Upendo.
 
Hapo umeona mswahili au mwafrica haowamekengeuka ....sio sahihi kulinganisha imani za watu...hata waislam tunaona huwa hamuuoni mwezi kwa pamoja ..mna vitu mnavopingana /ILA NIKUSAIDIE BDUGU YANGU
MWISHO WA YOTE WOTE TUNAMWABUDU MUNGU MMOJA HUKU ANAITWA YESU/EMANUEL....KULE ANAITWA MTUME SAWS ISSA BIN MARIAM... ambaye wakristo ndio yesu aliyezaliwa na MARIA KWA ROHO MTAKATIFU..
Tenda mema fuata amri kumi na wote tuitafute MBINGU.
 
Kwani wale wapagani wanafanya vipi Ibada na Dini yao Ilitajwa na nani...???
Mungu wa wapagan sio mungu wa wakiristo wala waislam wala mayahudi. Ndio maan nkauliza Mungu wenu nani ambaye amekupeni dini ya Chadema? Mbowe atakuwa mtume wa dini ya chadema lakini tumjue na mungu wenu basi. Pagan wako tofauti tofauti, wengine wanaabudu masanamu na majina wameyapa, wengine wanaabudu majini.
 
Dini ni mfumo wa maisha ya kila siku ambayo itamfanya mwanaadamu afanye matendo yote mema na kuwacha matendo yote mabaya

Wachana na hao akina nabii tito wewr jikite katika kufanya matendo mema tu na kuacha yooote mabaya hio ndo dini sahihi mkuu

Unaweza kuwa mkristo na usifanye matendo madhuri na vile vile unaweza kua muislamu na usifanye matendo mazur

But ukiwa unafanya matendo mazur bas hio ni zaid ya dini
 
Mungu wa wapagan sio mungu wa wakiristo wala waislam wala mayahudi. Ndio maan nkauliza Mungu wenu nani ambaye amekupeni dini ya Chadema? Mbowe atakuwa mtume wa dini ya chadema lakini tumjue na mungu wenu basi. Pagan wako tofauti tofauti, wengine wanaabudu masanamu na majina wameyapa, wengine wanaabudu majini.
Sisi Mungu wetu ni Huyo Huyo aliekuumba ww
 
Mm baba akifa .....natafuta dini sahihi ya kwenda ....yy tu ndo namuhofia anaweza ninyima miradh ....
Ukristo una weeknes nyingi za waz waz na source ya income kwa watu
 
Wengine tukitoa michango yetu tunaweza tukachafua hali ya hewa sasa humu Jamvini na nchi ikasimama. Ngoja nijinyamazie tu Mimi japo moyoni nina Hasira ambayo naiona kila sekunde inazidi tu kupanda.
Hauna mpya mkuu
 
Ukiacha wasabato Wakristu wanaabudu siku ya jumapili (Sunday ) siku ya kuabudu jua zama za kale. Mfalme Constantine alipokea ukristu kibiashara, jumlisha akili yako uchanganye na ulichoambiwa na wamisionari. Huenda kuna baraza la siri lililoandaa ukristu kwani Mungu hana mtoto, hata kama ana mtoto asingemtoa sadaka kama binadamu wa leo wanavyofanya ili wafanikiwe
kolosai 2:16 kushika sabato si twakwa la kikristo
 
Jibu langu ni Hilo
86e7b1e1f819fc12c562ca68eba409cb.jpg
Hapo tu, yale yale walituambia Mungu yuko mbinguni, tuombe juu, tuangalie juu, chochote kile, utajiri, amani, maisha mema...
Kumbe wenzetu wakati tunamuomba Mungu wao, tukiangalia juu, wao wanachukuwa vilivyo ardhini?! Wale ndorobo wajanja mno, walifuata ule msemo wao "win their hearts and mind, you will concur them, their land and even their women and children, FOREVER"! Shabash tunakuja stuka na kudai uhuru wetu, walishachota vya kufa mtu, tumebakia na makapi ya madini yasiyo na mwanzo wala mwisho, mzungu balaa, hata Dr. Shika alishindwa alivyoenda kule! Sana sana kaambulia kupoteza vidole na kuja na kampuni hewa!
Duniani kweli kuna mambo...
 
"Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo",Mkuu katika vita ya kumshinda shetani hakuna mwendo mdogo mdogo,ili uifikie mbingu ya kweli ni lazima upambane ki kweli kweli..
 
Sisi Mungu wetu ni Huyo Huyo aliekuumba ww
Haiwezekani, alieniumba mimi hakunifundisha kuwa Chadema ni Dini. Halafu Mungu alieniumba mimi ametaka dini yake isimbae dunia nzima. Sasa namshangaa Mungu unaemsema wewe dini hio ipo Tanzania tu na wala haimhubiri mungu....
 
Back
Top Bottom