Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Dogo leo angalau umeongea point.kwa kuanza tu,dini ni upuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo leo angalau umeongea point.kwa kuanza tu,dini ni upuuzi
When your god and savior looks like your master and enslaver, you become the principal agent in your destruction-Dr. Yosef Ben- JochannanDini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.
THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY![]()
![]()
always nipo hivi linapokuja swala ujinga ujinga wa ulaya na arabuniDogo leo angalau umeongea point.
Ndio maana Biblia haienzi dini yoyote bali Njia Ile ya Uzima yaani Wokovu katika Yesu Kristo.Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Waweja Sana.Dini ni wewe mwenyewe mkuu, haijalishi unasali wapi kanisani au msikitini
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
duuh unamwamini Mungu wwkwa kuanza tu,dini ni upuuzi
Kwa Hilo Tuko pamojaalways nipo hivi linapokuja swala ujinga ujinga wa ulaya na arabuni
sana tu tena pengine kuliko weweduuh unamwamini Mungu ww
cheers to that...tafuta nyuzi zangu kule jamii intelligence kuhusu plagiarism ya bibleKwa Hilo Tuko pamoja
ukweli mchungu Mungu hana mtoto hakuzaa wala hakuzaliwa hana mwanzo wake wala mwisho wakeUkiacha wasabato Wakristu wanaabudu siku ya jumapili (Sunday ) siku ya kuabudu jua zama za kale. Mfalme Constantine alipokea ukristu kibiashara, jumlisha akili yako uchanganye na ulichoambiwa na wamisionari. Huenda kuna baraza la siri lililoandaa ukristu kwani Mungu hana mtoto, hata kama ana mtoto asingemtoa sadaka kama binadamu wa leo wanavyofanya ili wafanikiwe
umenizidi sana ila unamwamini kupitia dini ganisana tu tena pengine kuliko wewe
narudia kusema dini ni upuuzi,ujiga na upumbavu
mkuu vipi!!!!umenizidi sana ila unamwamini kupitia dini gani