Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

We kishombi acha kupanic,mwenzio anakuuliza vizuri unaongea ovyo.ok kama una mwamini Mungu vizuri ila kumbuka imani bila matendo imekufa! Kama matendo yako yanaendana na imani basi barikiwa.ila kama mpuuzi basi ngojea adhabu yako
adhabu gani?
nitolee hekaya za vitabu vyenu mnavyoita vitakatifu
 
Nikimwita Mungu Mama nina kosa? Tuache gender aitwe tu Muumba au Mungu
Aise hujakosea kabisa na mtazamo wako, kuna kasinema nilitazama, kulikuwa na wakinamama wanaharakiti, walidai Mungu ni mwanamke!
Kwa kweli sikuona ajabu kabisa, bado siamini kama Mungu ni mwanaume, yawezekana sababu ya mabavu yetu na kujikakamuwa..
Ila mwanamke ndio kila kitu, hii lazima tukubali, kweli mbegu za kiume zahitajika, zaidi ya hapo sidhani kama sisi wanaume tuna la zaidi la kumshinda mwanamke, hili swala tuliangalie kwa makini sana, kukaa na mimba miezi tisa si mchezo (mwanaume hawezi), kuzaa ni kazi ngumu zaidi (nina imani sisi wanaume hatuwezi kabisa ule uchungu), kulea mpaka mtoto anajitegemea ni balaa, haya yote kwa upande wangu naamini mwanamke ni jabali zaidi, na sisi wanaume tulitakiwa kuongozwa naye..
Tuje kwenye ukatili, wanaume siyo wakatili, hata kidogo, mwanamke mkuu! Acha kabisa na ukatili wa mwanamke, akiamuwa kukufanyizia huponi!
Utafutaji, hapa mwanaume kapigwa ngwala ya kufa mtu, 100% wametushinda kwenye hili, hasa kama ana watoto...
Tabia nzuri, ustaarabu, upole, heshima na mapenzi, tena tumepigwa bao, wanaume tuko very selfish, tuko sana na "mimi mimi mimi)..mwanamke yuko selfish sawa, ila kwa familia yake, kwa zao lake, kuna ule usemi nyoka akiingia kwenye boma lenu na kutaka kudhuru mtoto, mwanaume atafanya nini? atatafuta silaha yoyote kwanza, mwanamke atamfuata nyoka bila silaha yoyote, amini usiamini atakayekufa pale ni nyoka!
 
Haiwezekani, alieniumba mimi hakunifundisha kuwa Chadema ni Dini. Halafu Mungu alieniumba mimi ametaka dini yake isimbae dunia nzima. Sasa namshangaa Mungu unaemsema wewe dini hio ipo Tanzania tu na wala haimhubiri mungu....
Brother We Umekremishwa Uko Madrasa. Mungu Hataki Dini yako, anataka moyo wako, Acha Izo akili za kujipendelea, Mungu Hakuleta Dini. Ishi vizuri na watu Usijione wewe Bora kuliko wenzio MUNGU hakuleta Dini. Izo ni Njia tu za kumkaribia Basi,
MUNGU NI MUWEZA WA KILA KITU ANGETAKA WATU WOTE WAABUDU DINI MOJA ASINGESHINDWA, ila amekupa Uhuru wewe na mwenendo wako. Chunga Imani Yako Brother Mungu Hataki kanzu zako anataka Moyo na matendo yako.
 
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
Nilitaka kukasirika mwishowe mifano yako imenichekesha! Kwenda kanisani na silaha cha mtoto, kuna dini zingine zimeingia kichwakichwa hata kuua watu, kuchinja nk huku wakiwa na bendera ya dini yao, kitabu nk. Wengine wanatumia hata vifaru, madege ya kivita, silaha za sumu nk na kwamba wanaua watu wote wasiokuwa wa dini yao kwa nia ya kuunda dola la dini yao. Yaani hawa mapadri waliobeba SMG, LMG na RPG ni cha mtoto. Nenda ukanda wote kuanzia Afghanistan, uje Iraq, Iran, Syria, Jordan, Lebanon, ambaa ambaa kuelekea maeneo ya kusini utakuta Yemen nk, wote hao wanauana huku wamebeba ishala mbalimbali za dini yao na kupigania imani yao. Hawa wakatoloki uliotuonyesha ni cha mtoto!
 
Dini/imani ni misingi iliyo imara na hakika sana, hili halina shaka!! Misingi ya imani yangu kwa Yesu Kristo wa Nazareth iko clear kabisa kwenye kitabu chetu kitakatifu Bible.
Sasa ukizungumzia mtu kutumia vibaya imani ya kikristo ndio kufanya ukristo uonekane ni upuuzi hiyo haiko sawa.
Misingi na maagizo ya biblia yako palepale hata kama waharibifu wakirukaruka sarakasi vipi kufanya maslahi yao.
Neno la Mungu hilo lililomo kwenye Bible ndilo litakalohukumu kama lilivyojithibitisha.
Lakini upande mwingine ukristo hupokelewa na mtu kwa akili ya kitoto kabisa na kwa ma great thinker kama mleta uzi ni ngumu sana kuipokea imani ya kikristo bali atabaki akimlaumu kakobe au bushiri!!
Sasa ni hivi imani ni kwa wale waliomo ndani ya huduma ya Mtumishi fulani wa Mungu na sio walio nje ya huduma hiyo. Hawa walio nje wao hufanya kazi ya kumjaji zaid mtumishi wala hata hawapokei neno lolote jema kutoka kwa Mungu kupitia kwa Mtumishi wake. Ndio maana ukichunguza utakuta kwamba pamoja na wewe kukwazika na imani ya kikristo bado ujasiri wa kuhudhuria mahubiri ili kwenda kuuliza zaidi unakosa kwakuwa ipo hofu ndani ya nyumba ya wanaoamini!!
Na hata uisusie imani hii trust the word "imani katika kristo haitetereki bali inaimarika toka kiwango hadi kiwango cha juu sana
Karibu.
 
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!


Hawa walioshika silaha naona wameanza kuwaiga ndugu zao waislam na ugaidi.
 
Dini inatumiwa na wahusika kujitajirisha, sisi ni ng'ombe, wanywa maziwa ndio wale walioleta dini, wanatunyonya mpaka hatujielewi, tuamke, hakuna cha ukristo wala uislamu, madini yote haya ni kwa ajili muwapelekee mapeni tu, kuanzia hijja za Mecca mpaka Jerusalem, tena mmesikia, Wayahudi wanataka kodi zao kwenye hizo site mnazoenda kuhiji, makanisa yaja juu!
Pesa ndio dini ya waliowaletea hizo imani, wanajuwa mtanunua biblia, wanajuwa mtanunuwa koran, wanajuwa mtaenda hiji wanajuwa imani hizo ndizo zitakazowasambaratisha waafrika msielewane, ili waendelee kuwanyonya kisawasawa...


Niungane na wewe kuwa dini nyingi kwa sasa zipo njia panda. Mfano safari hizi za hija ukweli zinauchafua uislam ili uonekane ni kama sina Fulani ya unyonyaji. Ukweli hajj agency na mamlaka ya ufalme wa Saudi wanachofanya si ktk uislam na ni vema watuondolee aibu hii ya kuweka gharama kubwa kusafirisha mahujaji
 
Nilitaka kukasirika mwishowe mifano yako imenichekesha! Kwenda kanisani na silaha cha mtoto, kuna dini zingine zimeingia kichwakichwa hata kuua watu, kuchinja nk huku wakiwa na bendera ya dini yao, kitabu nk. Wengine wanatumia hata vifaru, madege ya kivita, silaha za sumu nk na kwamba wanaua watu wote wasiokuwa wa dini yao kwa nia ya kuunda dola la dini yao. Yaani hawa mapadri waliobeba SMG, LMG na RPG ni cha mtoto. Nenda ukanda wote kuanzia Afghanistan, uje Iraq, Iran, Syria, Jordan, Lebanon, ambaa ambaa kuelekea maeneo ya kusini utakuta Yemen nk, wote hao wanauana huku wamebeba ishala mbalimbali za dini yao na kupigania imani yao. Hawa wakatoloki uliotuonyesha ni cha mtoto!
TENA DINI HIYO WANAUANA WAO KWA WAO, NI WATU WA JAZBA ILE MBAYA. AJABU YAO WAKATI WAKIWAUA WENZAO UTAMKA JINA LA MUNGU WAO KUWA "MUNGU NI MKUBWA, MUNGU NI MKUBWA.

MWENYE KUWAJUA HAO ATEGUE KITENDAWILI CHANGU HICHO. @ Mtoa mada
 
Kama ya wakristo ikikushinda nenda ukazunguke jiwe kule maka ikiwa uchi baadae mkakanyagane hadi kufa mkimpiga mawe shetani japo hammuoni
 
Sawa je ni dini (misingi ya imani) iliyo njiapanda au ni watu (wasiotaka kusoma wenyewe MANUAL BOOK ya dini yao ili waielewe bali wanasubiri wasomewe na watafsiriwe na watu wengine) ndio wako njia panda??

Biblia kama msingi na mwongozo wa wafuasi wa kristo haijabakisha kitu juu ya yote mnayoyasifia au kuyalaumu. Kila neno limewekwa bayana.
Kwangu binafsi tangu niithibitishe imani ya kikristo kupitia biblia takatifu, mtu anayeniambia imani hii ni utapeli huwa simwelewi cause huwa namwona ana criticise imani ya mtu, ambayo yeye haiamini.
 
sio dini sema madhehebu


binafsi ni K.K.K.T Baba yangu ni kiongozi mkubwa tu wa dini Roman Catholic

kila nikiangalia mwenendo wa kanisa napata shida

ukiangalia wasabato nao wanashida


wajehova nao hawajielewi kabisa

lakini baada ya kusoma soma bible na baadhi ya non biblical scripture nimejifunza jambo moja kubwa

KUTENDA WEMA NDIO DINI PEKEE NITAKAYOFATA KUTOKA NDANI YA MOYO WANGU.
.

AM tired of Christians ideologies... naona makanisa kama miradi ya watu tu wanappiga pesa


mfano mtwara kuna askofu ameonekana mitandaoninakilala chini kuomba msamaha ....namfikiria sana nawaza kusini palivuochoka wakristo wenyewe wachache alafu anawaibia mkwanja au unatumia sadaka vibaya inaumiza sana mioyo..


kuna mambo mengi ambayo ni mitizamo ya watu...


hata bible haikusema ukristo au usabato ndio dini ya kweli bali kuwasaidia yatima na wajane na wengine wenye uhitaji...hapo utamgusa Mungu

Siwezi kuacha kwenda kanisani lakini huwa sifuati utaratibu wa kabisa kwa 100%

natamani ubudha ungekua ukristo
 
majebsmafuru dini zote ni cultural expressions of Spirituality.

Wengi wanawarubuni watu kuwavutia kwao, hata katika dini moja.

Mifano ya Waislam:
[emoji830]Sunni
[emoji830]Takfir Sunni
[emoji830]Wahabism, similar to takfir Sunni
[emoji830]Followers of teachings of Imam Bhuhari
[emoji830]Sufi
[emoji830]Shia and branches of Shia

Sasa hivi vita vya 3 vya dunia vinaweza kuletwa na tofauti kati ya:
[emoji830]Vinara wa SUNNI ISLAM (Saudi Arabia wakiungwa mkono na Marekani, Israel, na Sunni world) na
[emoji830]Vinara wa SHIA ISLAM (Iran, Urusi, na Shia world)

Hakuna machafuko yoyote duniani yenye vyanzo kutokana na tofauti kati ya madhehebu ya UKRISTU.


Watoto wanaokua brainwashed na wazazi na dini zinazofuatwa na wazazi wao ndio chimbuko la migongano hii mikubwa ya kidini.

DECOUPLE YOUR CHILDREN FROM ORGANIZED RELIGIONS.

You are welcome to be Agnostic like me.
 
Hawa watu wa Mungu SDAC wamekukosea nini?
..

Lakini chunga hisia zako kwa shutuma kwa unayemuona ana kibanzi ila hujachukua kioo kujiangalia either una bolt jichoni kwako or uchafu wowote...

Nimeuliza ni SDA gani hiyo huyo kenge anainadi zaidi za hiyo niliyotolea sifa zake za msingi..??
 
Lakini chunga hisia zako kwa shutuma kwa unayemuona ana kibanzi ila hujachukua kioo kujiangalia either una bolt jichoni kwako or uchafu wowote...
Je! Ni kweli muanzilishi wenu Ellen G White alipinga Utatu Mtakatifu...??

Je! Ni kweli Ellen G White alimsingizia Yesu amejibanza kwenye uchochoro mbinguni(patakatifu pa patakatifu) akimpeleleza mwanadamu...? ( Investigative judgement)

Je! Ni kweli Bi Ellena na kundi lake walitabiri ujio wa Yesu mnamo mwaka 1843..???
 
Peleka ushenzi huko kwenye makambi..


Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???

Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???

Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??


Hebu wacha ushenzi wewe...
Hata Yesu walimdhihaki kwa kumwita mtoto wa fundi Seremala tena familia duni, iweje aje kuwa na hekima kubwa na kuwa Mwokozi wa ulimwengu?
Haishangazi, ukiwa Wakala wa Shetani huwezi kuficha hisia na ujinga uliojaza ktk moyo wako kama wewe.
Mungu akufunulie siku moja, ili uwe ushuhuda mbele za watu.
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
hayo mabawa yanaukweli wowote au imaginations
 
Mungu akufunulie siku moja, ili uwe ushuhuda mbele za watu.
Je! Ni SDA gani unaizungumzia..?? SDA hii ambayo muanzilishi wake alipinga Utatu Mtakatifu mpaka kufikia hatua GC kuficha nyaraka za EGW ziliponga Utatu Mtakatifu..?? Au uulikuwa hujui..???


Unafahamu the Clear Word Bible...???
 
Back
Top Bottom